Taja offer yako nionrWapendwa Nanunua Facebook Groups kuanzia 400k members na kuendelea
Je wewe ni admin wa group la facebook na halikuuingizii faida yoyote? basi katika kipindi hiki cha mdororo wa uchumi naomba uniuzie jumla jumla.
Tukikubaliana,tutalipana mkono kwa mkono kisha unanifanya admin mimi nakulipa fedha yako.
Note:Hii siyo kwamba nataka kujoin groups zisizo zako...nataka kununua mazima mazima.
[emoji28]Ukiitaji la whatsapp nijulishe
Ukiitaji la whatsapp nijulishe
Na siku ukihitaji la Twitter nishtueUkihtaji group la instagram nitfte