Nanunua evocado 1kg kwa $1.3

Nanunua evocado 1kg kwa $1.3

pHapy

New Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2
Reaction score
2
Habar wapendwa naishi inchini Israel Jerusalem nimepata tender ya kuingiza evocado tani 20 kwa mwezi ndani ya mwaka 2023 mpaka 2024 so mwenye kuitaji kufanya pamoja hii biashara nawakaribisha. Ahsanteni sana

+97225609567 karibu WhatsApp.

aguacate-Gobierno-de-Mexico.jpg
 
Habar wapendwa naishi inchini Israel Jerusalem nimepata tender ya kuingiza evocado tani 20 kwa mwezi ndani ya mwaka 2023 mpaka 2024 so mwenye kuitaji kufanya pamoja hii biashara nawakaribisha. Ahsanteni sana

+97225609567 karibu WhatsApp.

View attachment 2431665
Hiyo tender umeipata kwa njia gani? Kama unamiliki Kampuni pia ungeweka jina lake hapa jukwaani.
Kinyume na hapo, nitashangaa kuona watu wanashawishika kirahisi tu kukupigia, na kufanya hiyo biashara.

Yaani kiufupi unatakiwa unyooshe maelezo yako kama rula, ili kusiwepo na hofu, au harufu ya utapeli.
 
Aendae juu kipungu hafikii mbinguni...

Cha mgema huliwa na mkwezi.
 
Habar wapendwa naishi inchini Israel Jerusalem nimepata tender ya kuingiza evocado tani 20 kwa mwezi ndani ya mwaka 2023 mpaka 2024 so mwenye kuitaji kufanya pamoja hii biashara nawakaribisha. Ahsanteni sana

+97225609567 karibu WhatsApp.

View attachment 2431665

Makampuni ya kenya yanamlipa mkulima yah.2500 kwa kilo hasa wewe sema mode yako ikoje maana hapo hiyo bei mkulima anachuma na kukupa tu lakini storage na usafiri ni kwako mkulima unamwachia chake shambani
 
Nenda njombe, tukuyu ndio utapata parachichi kama hizo unazohitaji
 
Back
Top Bottom