Kwa yeyote atakaekuwa na deki original ya DVD na options za aina yote deki amabayo haichagui awasiliane nami nataka kununua ila bei lazima akubaliane na mimi ambayo ni 30000 kwa yeyote mwenye nayo anipigie simu namba 0715701070
Kaka better utoe 50,000 ukanunue Mlimani city yenye Guarantee ya mwaka mzima compared na utakayonunua ya 30,000 na kesho ikaharbika na ukaanza kulalamika umetapeliwa.
Kaka better utoe 50,000 ukanunue Mlimani city yenye Guarantee ya mwaka mzima compared na utakayonunua ya 30,000 na kesho ikaharbika na ukaanza kulalamika umetapeliwa.