Nani....?

NN is a rare breed humu JF.when he is bored he humour plays with the flock,when push comes to shove on serious issues,very few can match his grasp on pertaining issues.To say "anajifanya anajua"is just un JF and simply 'ballerhating'

Oh man! Real recognize real. 'ppreciate that bruh. One Love.
 
Juzi na jana nililala kaunta hapa namsubili Carina Ti aje twende tukabust kule ambako huruhusiwi kusuuza glass

Hahahaha....Ti muda huu anachanja mbuga kuelkea Kerege. Badae tutakutana kwa ajili ya kunywa biya!
 
Mzee DC kwa kukusikiliza wewe ngoja nipunguze speed!!

Nimefurahi sana hujasema kama unanichukia au unanipenda......Naamini msg imetumwa na imefika kunako...ila sasa msg nyingine hazitumwi asubuhi mdogo wangu, siku ilikuwa bado mbichi mno...!!!

JF ni kama kisiwa cha viumbe wa kila aina....Nafurahia hiyo bioanuai (biodiversity) na ndio siku zote inanifanya nihangaike kutafuta muda wa kuchungulia.. Nikiambulia kero nachukulia ndiyo malipo ya siku husika kwani mara nyingi napata super profit....Kwa hiyo mizania ya mahesabu yangu siku zote inaonesha faida...

Nitaendelea kuwa mwanachama mwaminifu wa JF na hasa hasa yale majukwaa yetu matukufu kama mnavyoyajua!!

Mzee DC
 
mim wananiudhi wanaoandika matusi,kama wiki hii hapa MMU kumefululiza thread zina heading zenye lugha kali,ikiendelea hivi mtu utakua huwez kufungua jf mbele za watu.
yeyote anayetukana ananiboa lkn akiandika kitu kinachonifurahisha nasahau machungu,
 

Similar Discussions

22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom