Nani....? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani....?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Lizzy, May 28, 2011.

 1. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama ilivyo majumbani..maofisini au hata mtaani lazima kila mtu kuna watu anaowapenda (admire) zaidi ya wengine na wengine huwapendi (disapprove of ..get disgusted with...dislike) kwa mambo wanayofanya au wanavyoyafanya.Hii ni hali ya kawaida tu kwahiyo naamini hata hapa JF wapo wanokuboa kwa namna moja ama nyingine.

  Kwahiyo swali langu ni hivi nani/kina nani hapa JF unawaADMIRE kiasi kwamba hata wakichangia thread ambayo wewe hujaifurahia utaingia tu ili kujua walichoandika wao?!
  Na je kina nani michango yao na thread zao zinakuacha umeshanga tu na kujiuliza hivi huyu mtu vipi?!

  Mi nakua wa kwanza kusema nnaowadmire ni wengi kuliko wanaonishangaza...kwahiyo hawa ntawataja baadae!Anaeniboaga ni NN au Nyani Ngabu ukipenda...yani mshkaji ye michango yake mingi inaashiriabye anajiona ni bora kuliko!Kila kitu anajua yeye...na kila mtu amsikilize yeye.Kama tungekua tunaongea kwa sauti ningesema ni mmoja wa wale watu wasionyamazaga na kumuacha mwingine aongee.Hata kama hajui kitu atajifanya na kung‘ania anajua!

  So
  Next ni babu yangi ASIPIRINI...japo nampenda sana ila akianzaga kutetea infidelity basi naishia kutamani asingekua babu yangu nimpe kavu za uso!!Sorry babu...nimekua mkweli tu!!!

  So vipi wewe......?!Usisahau sababu ili kama mhusika anaweza ajirekebishe au aendeleze libeneke kwa kinachofagiliwa!!
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  May 28, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Ngoja nimalize :A S-cry: Partner and i will be back!
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Ananiboa klorokwini kila muda ni muda wa utani ila ananifurahisha kila nikimsoma lazima nismile.
  Ananiboa lizzy threads zake nyingi ni ndefu sana ila ananifurahisha kwa ujumbe anaotoa na alivyo mchangamfu.
  Wananiboa wale wote ambao ni wagumu kuchangia threads za wenzao ila ni wepesi kuanzisha zao.
  Wananiboa wale wote ambao ni wepesi kukasirishwa na comments za humu ndani hadi kuporomosha matusi.
  Wengine sielewi kama wananiboa au wananifurahisha. Mfano figganigga.
  Huo ndio ukweli wangu ila nawapenda wote. Mungu awape nguvu na afya.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  May 28, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  With talent on loan from my father, the honorable Ngabu Sr., and half of my brain tied behind my back...so just to make it fair...I am the First Lord of the Treasury, Lord Chief Justice, Commander-in-Chief, Lord High Admiral... Archbishop of Titipu, Lord Mayor and Lord High Everything Else.

  I am the all-knowing, all-seeing, all-caring, all-sensing, all-concerned Nyani outstanding son of Ngabu, lover of mankind, protector of motherhood, supporter of fatherhood, and general all-around good guy, all contained within a lovable harmless little fuzzball.

  Aggravating folks is my forte and I have more fun doing it than any human being should be allowed to have. I will be back with more so don't change that dial.
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  May 28, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Mie nawapenda woooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  Kuboana kupo kupendana kupo
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  May 28, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Lizzy kama kawa thread zako zoote huwa zinakua zimesimama… THANK YOU PARTNER…
  Utanisamehe partner kua sitajibu tu in short kutaja watu wanivutao…. Nazungumzia in general kitu gani hunivuta kuingia/kuchangia au kutoingia/kutochangia…
  Thread hasa hapa MMU zimekua nyiiiingi mno na nichache zenye mambo ya maana, na hizo ndo hutupa nafasi ya kuchakachua (am one of them hasa kama wachakachuaji wenzangu wamo humo ndani hasa partner wangu Lizzy)

  Thread yoyote ya maana na msingi hapa MMU hua hata wachangiaji wako makini (hata kama ni wachakachuaji) tokana na ukweli kua hio maada ni ya muhimu na msingi kwa woote wanaofuatilia wawe members au non members… ndo maana unakuta kua threads ambazo ni za msingi mara chache saana huenda pages mpaka 15 huko tokana na ukweli kua kila post inayotolewa na kila member ni ya muhimu na inahitaji majibu…

  Bahati mbaya saana members wengine anaona ni sifa tu kuanzisha thread (observe saana hawa members huwezi mkuta thread ya mwingine akichangia yeye kazi ni kupost tu) bila mpango wala kujali… Personally naamini ukianzisha thread unaweka attention yako yoote hapo ili upate mawazo ulokua unataka na wewe huku ukitoa ni stand ipi ambayo unayo tokana na michango ya fellow JF members.. Personally thread ikiwa ya msingi I don’t care nani kachangia AU nani kagusa hapo AU ni nani kapost AU hata kama nae huchangia au lah! maana nataka kutoa mawazo yangu kuhusu hio issue..

  But thread isipokua ya msingi hapo ndo full kuchakachua na kuangalia kama company yangu ya kuchakachua imetia timu humo ndani… Ndio zipo thread ambazo hamuwezi jadili bila kuchakachua kama vile ya mavazi hio haiepkiki,,

  USHAURi; Hata watuma thread inabidi wawe wanaangalia kwa siku hio thread zimetumwa ngapi? Unakuta a very nice thread imeeanzishwa but siku moja tu haipo imehama page hivyo kukosa update na mawazo ya watu wengine sababu tu thread kama more than 10 zimetumwa na hamna la Msingi, siku ambayo nimeboreka nahitaji kucheka naingia kwa BjBj au Speaker, Nikiona uzi wa Pauline hua najipanga kabla ya kuingia...
   
 7. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0


  wewe jaman mwenzio sjaelewa NN...pls weka kiswahili bas...dictionary yake shangazi kaichukua kaenda nayo mjiniiiiiiiiii..plz :smow:mie
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Partner why is you crying?!
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama kawaida na kiingerza chako cha dikshenari!!‘
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  May 28, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Nita PM hii thread very serious... sitaki chakachua...lol
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,030
  Likes Received: 23,780
  Trophy Points: 280
  Aisee umenipaisha kama FM Academia.....

  Hebu rudi uka-edit ile red pale nipate amani afu nikuambie kitu kizuri.
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Thanks partner...nimekusoma hapo juu kama kawaida umeangusha nondo za ukweli...wanaoweza wapokee wasioweza wasubirie kudondokewa!!
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  May 28, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Na wewe kanunue ya kwako. Teh teh teh
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mijtu inayonboa ni awa
  1.wale wanaotuma post za kukashfu wanawake ...yaan yeye akichangia au akitoa post basi ujue theme kubwa ni kutusi wanawake ..mpk ukiona tu post unaweza kuges i itakuwa ya fulani

  2.wale wanaotuma post km watoto wadogo yaan zile za demu wangu..mshikaji wangu nilikamata demu:dance::dance::dance: yaan ni full of mabata wadogo dogo wanaogelea

  3.wale wanaoandika madudu marefuuuuuuuuuuuuuuu tena ya kingereza au mi mwenzenu sielew chngereza chenu

  4.na wale wanaojifanya kujua kila kitu pia wananiboa


  nampenda mwanajamii one n OL LADIES DWN HERE....wanaume SIWAPENDIIIIIIIIIIIIIIIIIII cz ni wachokoz ol the tym:dance::dance::dance:!!!!!...nawapenda mwaya m just kdng:pound:
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160

  Babu jibu mashtaka...kukupenda JF nzima inajua nakupenda!
   
 16. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #16
  May 28, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  haha !ha!
  umenichekesha wew jaman...tuazime iyo yako basi..mwanaume kuwa mchoyo wala ahainogi...
  mwanaume wewe kiswahili lugha ya taifa sasa unavyojitia kimbelembele km matiti ya isha mashauzi wala hainog...mwaga kishwahil apo kati twende sawa...usichezee moto utakuuunguzaaaaaaaaaaaa....!!!!!!
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  I can do without....
   
 18. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #18
  May 28, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  babu kupenda mafagio mweeeeeee!!!!!!!
   
 19. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #19
  May 28, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160

  Kiingereza kwa tusiokijua kinatusumbua mno jamani NN weka kisw basi
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  May 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,030
  Likes Received: 23,780
  Trophy Points: 280
  Mashtaka gani napaswa kuyajibu mjukuu wangu mteule?
   
Loading...