Simba mambo magumu kuna ukataSijafuatilia hii Nani zaidi ,hizi hela zinaenda kufanya nini ?
na wanayochanga Yanga inaenda wapi?Simba mambo magumu kuna ukata
simba hamna hela Mo kaflisika wanatafuta hela za kununua breakfast na chakula cha wachezaji , utopolo wamesema hawana shida nazo watanunulia lotions za albino sopeSijafuatilia hii Nani zaidi ,hizi hela zinaenda kufanya nini ?
Ni aina fulani imewekwa kimkakati ili kublind watuna wanayochanga Yanga inaenda wapi?
Ndio yale yale tuLakini join the chain ni sawa?
Hadi sasa Simba anaongoza, tuendelee kupeana updates.
Credit: Azam tv
Haya ni matokeo ya 05/06/2022 saa tatu kamili usiku.
View attachment 2251676
Sema wewe ni Makolo FC au Manyaunyau FCWoow, Asante Sana kwa huu uzi.🤝💪.
Mm n SimbA SC fan.
Kwani umelazimishwa? Mavi-Jana ya Tanzania ni matilatila!Waishajua sisi watz ni mapopoma hapa wanachota pesa za bure bure kisa uyanga na usimba.
Waingereza walituachia ugonjwa fulani hivi, udaku na mpira hatujui.