William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Thread starter
-
- #101
John Mashaka na Shao wapewe nchi hii kwa sababu wanaandika na kuongea sana kimombo kwenye blog ya michuzi au kwa sababu ipi ingine mpya?
Watu wengi nadhani wanatishika na kimombo cha John Mashaka,lkn ukigeuza hoja zake hizo za kizungu na ukaleta kwa kiswahili utagundua kabisa kuwa uchambuzi wake wa uchumi wa tz ni sawa na wa mtoto wa darasa la saba au sana sana form 2!
Mkuu unajua unachokisema, katiba si kitu cha mchezo na si assignment za chuo kikuu na wala si maandishi ya articles kwenye JF hauwezi andika katiba siku moja....waambie hao akina Mwanakijiji waende kutangaza sera zao kwa wananchi na sio kwenye Blogs mkuu..maana naona mnataka kukimbia ukweli kwa kwa sasa hawana sifa wala uwezo wa kuongoza nchi mpaka tujue sera. sio unashangilia kila kitu, jua kuchuja...- Katiba inayofaa kwa taifa letu inaweza kutengenezwa hata kwa siku moja tu, kwa sababu matatizo yake hayahitaji kuwa professor kuyajua, la kwanza ni kupunguza madaraka ya rais tu na huenda hata huhitaji kwenda kwingine zaidi ya hapo tu kulisaidia hili taifa, la kurekebisha madaraka ya ajabu aliyonayo rais wetu hayahitaji karne kuyarekebisha, ni suala la siku moja unarudisha madaraka kwa wananchi kupitia bunge lao la jamhuri.
- Ujeuri wote wa mafisadi huko CCM, unaletwa na madaraka ya ajabu aliyonayo rais wa jamhuri, ambaye ni Mwenyekiti wa CCM.
Ahsante.
William.
Mkuu, nimependa mapendekezo yako, ila hapo kwenye kipengele "a" umezungumzia mabadiliko ya katiba kwa uhakika utadhani ukishaamua wewe basi wengine wote "Watasema zidumu fikra za Mwanakijiji" na kuafiki yote kama yalivyo..!!
- Katiba inayofaa kwa taifa letu inaweza kutengenezwa hata kwa siku moja tu,
William.
Mkuu unajua unachokisema, katiba si kitu cha mchezo na si assignment za chuo kikuu na wala si maandishi ya articles kwenye JF hauwezi andika katiba siku moja....waambie hao akina Mwanakijiji waende kutangaza sera zao kwa wananchi na sio kwenye Blogs mkuu..maana naona mnataka kukimbia ukweli kwa kwa sasa hawana sifa wala uwezo wa kuongoza nchi mpaka tujue sera. sio unashangilia kila kitu, jua kuchuja...
Malecela,
Unachekesha kweli..waliomfanya mwanakijiji semi- god ni nani..jisemee nafsi yako mimi namuona mlalamisha hana issue
Vinginevyo tunamsubiri kwenye field...Jukwaani na vijijini akimwaga sera..
Welcome to the real battle....
Mkuu unajua unachokisema, katiba si kitu cha mchezo na si assignment za chuo kikuu na wala si maandishi ya articles kwenye JF hauwezi andika katiba siku moja....waambie hao akina Mwanakijiji waende kutangaza sera zao kwa wananchi na sio kwenye Blogs mkuu..maana naona mnataka kukimbia ukweli kwa kwa sasa hawana sifa wala uwezo wa kuongoza nchi mpaka tujue sera. sio unashangilia kila kitu, jua kuchuja...
mu ndo mana nasema waende kuweka sera zao kwa watanzania mil 25/40 ambao ni wapiga kura..nachoweza kusema ni kwamba wanauwezo wa kuchambua mambo ila uongozi sijajua kwani watupe CV zao tujue...me leo nampendekeza mtu kama Migiro na Dr Salim Ahmed Salim je hao watu unaowataka wanaweza kusimama na akina Salim....Katiba haijengwi siku mmoja hapo tu tayari Mwanakijiji kaonyeshha udhaifu wa kukurupuka..katiba inakitu kinaitwa national forum ambao kila mwananchi anatakiwa atoe mawazo yake..bado pia kufwatilia international experience za katiba za nchi nyingine, pia inabidi wafwatilie requirements za variuos international conventions ili ziwe incorporated kwenye katiba...ni shughuli mzee na si lelemama- Anayerukia ishus bila kuchuja ni wewe usiye na new ideas wala positive thinking, licha ya ushauri unaofaa kwa taifa lako zaidi tu ya kuponda watu wenye sifa na uwezo wa kufikiri kuliko wako, viongozi huweka njia tena mahali popote walipo regardless wako wapi iwe kwenye blog, iwe jela kama kina Mandela, iwe barabarani wanaendesha trucks kama kina Walecha kule Poland, au kwenye dini kama kina Pengo.
- Kwa maandishi yao tu mtu mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri na kuona mbali, unaweza kuwaelewa kina Mwanakijiji, Mashaka na shayo kwamba wanaweza kulisaidia taifa letu, unazungumzia time as a factor katika kutengeneza katiba, kwamba ni lazima iwe ni muda mrefu ndio itakuwa a sound katiba na unatetea kwa nguvu zote kwamba you are right na hii nonsense thinking, kwamba ukiwaweka pamoja Tambwe, Guninita, Mzindakaya, Kusila, Rostam kwa muda mrefu sana basi watatengenza katiba saafi sana kwa taifa, no wonder hili taifa limekwama sana na this kind of thinking!
Ahsante.
William.
Ni mengi tu ambayo yanawezekana. Baadhi ya mambo ya kufanya baada ya mafanikio ya project-X:2010 ni haya:
a. Kuanzisha mchakato wa uandishi wa Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano na kuikamilisha ndani ya miaka miwili. Katiba hiyo:
- Itagawa madaraka kati ya Utendaji kati ya Rais na Waziri Mkuu
- Waziri Mkuu ataunda Baraza la Mawaziri litakalokubaliwa na Rais
- Tutatatua kero za Muungano kwa kurudi kwenye makubaliano ya Muungano ya 1964 (Articles of the Union) na kufanya mazungumzo mapya ya kuhakikisha serikali ya Tanganyika nayo inarudi (Serikali ya Tanganyika na ya Zanzibar zitaongozwa na Mawaziri Viongozi na serikali zao- Tanzania itakuwa na Rais Mmoja tu!)
- Tutapunguza wingi wa Wabunge na kuligawa Bunge sehemu mbili zinazosimamiana na hivyo kuwa na bicameral parliament (Seneti na Baraza la Wawakilishi)
- Tutaweka mipaka ya matumizi ya kinga ya Rais ili iwe rahisi kuivua kinga hiyo katika mazingira fulani fulani.
- Mawaziri hawatalazimishwa kutoka miongoni mwa wabunge.
b. Tutasitisha mikataba yote mikubwa ya madini na kuipitia upya na kukubaliana na wawekezaji upya. Mwekezaji ambaye hataki kukaa chini upya tutamsaidia kufunga virago vyake bila ya kumuomba msamaha! Tutaanza na Barricks na wenzake!
Tutahakikisha mikataba yote inayohusisha raslimali za taifa letu (madini, ardhi, mbuga n.k) inatajirisha kwanza kabisa (siyo pili au tatu) wana na mabinti wa taifa hili. Mwekezaji yoyote ambaye atataka yeye atajirike kwanza tutamtimua siku ya pili ya kutoa kauli hiyo! Hatuna kubembeleza mtu yeyote yule.
And you ask: "sasa wawekezaji wakikimbia si ndio nchi itakwama"? Hayo ni mawazo ya Kikwete ambayo hayamo katika fikra zangu!
c. Tutarudisha baadhi ya mashirika mikononi mwa serikali katika mtindo wa private-public management. Miongoni mwao ni pamoja na NBC, Simu, Umeme, n.k Details nyingine hapa ninaziweka kapuni.
d. Tutaiokoa TRL na kuirudisha kuwa TRC na kuhakikisha ndani ya mwaka mmoja shirika hili linajiendesha lenyewe likiwa na menejimenti ya Watanzania na likiwa ni shirika lenye huduma na uwezo wa hali ya juu kabisa ya kusafirisha abiria na mizigo. Blueprint ya mpango huu tayari imeshakimilika.
Hayo ni machache tu; mengine subiri the "Real Deal: Contract with Tanzanians" kama sehemu ya P-X:2010.
Change is coming.. be part of it au kaa pembeni!
Ndugu Wadau, Nadhani muda unavyokwenda, nchi yetu inazidi kudidimia katika wimbi la ufukara. Nchi imekwisha na hali inazidi kutisha, hasa tukizingatia hali ya kisiasa na ya kiuchumi.
- Unamuona Mwanakijiji ni mlalamishi na hana ishu, wakati kule chini ni wewe ndiye umeanzisha thread ya kumsifia kwamba anafanya kazi njema sana kwa taifa, ndio ninaita unafiki unaoturudisha nyuma taifa hili, you can't have it both ways mkuu! na tunaoingia humu JF sio wajinga kama unavyofikiri na kujidanganya, kuna wengi unawadanganya ila sio mimi. Halafu hili neno unachekesha hivi huwezi kutafuta lingine maana huwa huwezi ku-help yourself na hili neno na ndipo huwa unaharibu na hizo childish games zako, it is about time sasa uka grow up japo kidogo mkuu!
Ahsante.
William.
John Mashaka na Shao wapewe nchi hii kwa sababu wanaandika na kuongea sana kimombo kwenye blog ya michuzi au kwa sababu ipi ingine mpya?
Pamoja na kwamba sija-endorse wapewe uraisi ila hoja zao zinaonyesha kuwa wana fikra za kulitakia taifa hili mema kuliko viongozi wanaodaiwa kuwa na uzoefu.
Ni kweli kabisa mkuu. Sasa unafikiri tutapataje viongozi wenye mtizamo tofauti bila kuangalia nje ya system iliyopo? Sio lazima awe MM lakini lazima tuanzie mahali na tuondoe mawazo kuwa kama mtu hajawahi kuwa kada wa CCM basi hawezi kuwa kiongozi.Ni nani asiyejua kuwa tz maskini kwa sababu za madhara ya ukoloni mkongwe,au kwa sababu ya rushwa,au kwa sababu ya elimu duni ambapo bado tunatumia njia za kale kuendeleza resources zetu ,au kwa sababu ya utawala mbovu usizingatia maslahi ya walio wengi?
mu ndo mana nasema waende kuweka sera zao kwa watanzania mil 25/40 ambao ni wapiga kura..nachoweza kusema ni kwamba wanauwezo wa kuchambua mambo ila uongozi sijajua kwani watupe CV zao tujue...me leo nampendekeza mtu kama Migiro na Dr Salim Ahmed Salim je hao watu unaowataka wanaweza kusimama na akina Salim....Katiba haijengwi siku mmoja hapo tu tayari Mwanakijiji kaonyeshha udhaifu wa kukurupuka..katiba inakitu kinaitwa national forum ambao kila mwananchi anatakiwa atoe mawazo yake..bado pia kufwatilia international experience za katiba za nchi nyingine, pia inabidi wafwatilie requirements za variuos international conventions ili ziwe incorporated kwenye katiba...ni shughuli mzee na si lelemama
haya bwana nyie ndo mnao ingia mkenge ...tena nahisi hata haupo TZ hujui kinachoendelea unasoma tu kwenye ma JF na blogs mbalimbali ndo mana mwisho wasiku Chaaaaliiiiii
kaaazi kwelikweli teh teh teh teh
Mkuuniliweka majina hayo kwa mtego, na wewe hauja unasa ila tu umenisaidia kuforce my point home na point yangu ilikua hiviiiiiiiiMkuu nawaheshimu sana Migiro na Salim. Pamoja na kwamba wamekuwa na mafanikio sana katika siasa, je unaweza kutupa jambo moja au mbili waliyofanyia nchi hii likaleta mabadiliko ya kuonekana katika maisha ya watanzania. Kama hakuna, CV zao nzuri zinatusaidia nini?
Je John Mashaka, Mwanakijiji na Dr Shayo wamefanya nini kwa taifa mpaka wawe na vigezo ambavyo watu wanawapitisha kuwa wanafaa kuwa viongozi? au ni uwezo wao wa kuandika? kama ni uwezo wa kuandika wapo watu wengi tu? nilichokua nataka watu waelewe ni kwamba uongozi ni zaidi ya kujua kuchambua mambo..mfano prof lipumba hamna mtu anaemfikia katika wanaogombeaga u prez da kwa kuchambua mambo, ila i am not sure kama ni kiongozi mzuri...me naamini kiongozi mzuri ni yiule ambae anaweza kuwa na mipango mizuri kwenye afya, elim. azingira, technology, utawala bora na chamuhim zaidi kuwa na team thabiti itakayo waezesha kuingia madarakani na si tu kuingia madarakani bali pia kuongoza watu milioni 40...mfano tena vyama vyetu vya upinzani vinakosa team kamili yaani watu waliokamilika zaidi kukijenga na kujenga uwaminifu kwenye chama ambao wanafaa kuongoza nchi...tubahitaji mlolongo wa vitu vingi na si nakuwa na uwezo tu wakuandika na kuchambua mabo...ni sawa na usemi kuwa mchezaji soka bora atakua kocha bora, ambapo saa nyingine siyo
ahsanteeeee
solution nzuri kwa taifa navyo ona mimi ni kuunda chama kipya ambacho kitawakilisha watanzania wote...vyama vya upinzani tulivyo navyo vinamatatizo makubwa mfano kuwa ni mfano wa NGO na kuwakilisha baadhi ya group la watu...hapo ccm ndo inatofautiana na wengine..lakini ccm imesha shindwa kutuongoza na inamaovu mengi..chakufanya ni kipi?
vyama tulivyo navyo havina hadhi ya kuchukua nchi, tukisema tuvibadilisha=e na CCM watadai nao wabadilike..so mimi naona watu tujikusanye tutengeneze chama thabiti ambacho hakina dini wala kabila na kina adress matatizo yote ya mtanzania yakiwemo afya, elim, umaskini na ufisadi.