William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Thread starter
-
- #21
Sidhani kama unaweza kulinganisha hizi blog mbili. Kwanza moja ni forum which requires membership, the other is a blog which any person (including impersonators) can post articles and comments. JF has some reputable members eg: Dr Slaa, nk, while it's arguable that Michuzi blog has no members but viewers/commentators.
Pili hawa watu wawili wana-motive tofauti. Mmoja ni mwanaharakati/mwandishi, aliye na forum yake hadi podcasts. Mwingine ana profession yake na kitu anachofanya ni kuandika articles once in a while. Sasa utaweza kuwalinganisha hawa kweli? I think this is more of umbea than a competition.
Labda upime impact yao. But this wld depend what that means. JF ina news nyingi pamoja na ripoti za siri. But has it had impact? Michuzi blog inasambaza 'habari' kwa wingi pia. Pia target za news zao ni toafuti. So i would imagine their impact is also different.
this is one of idiotic thread i ever seen here JF
wewe nae bana peleka hizo pesa kwa watoto yatima.....this is one of idiotic thread i ever seen here jf
wewe nae bana peleka hizo pesa kwa watoto yatima.....this is one of idiotic thread i ever seen here JF
kweeeri...huyu kamanda fmes kaishiwa toka lile deal la kinaijeria libume bado haja settle kabisa....hana data za CCM tena haziuziki tena....Ama kwa waathirika wa Mabomu Mabagala!
na blogAn Internet forum, or message board, is an online discussion site It is the modern equivalent of a traditional bulletin board, and a technological evolution of the dialup bulletin board system From a technological standpoint, forums or boards are web applications managing user-generated content
sasa niambieni huyu great thinker sijui alifikiria nini kulinganisha blogs na forum.....A blog (a contraction of the term "weblog") is a type of website, usually maintained by an individual with regular entries of commentary, descriptions of events, or other material such as graphics or video. Entries are commonly displayed in reverse-chronological order. "Blog" can also be used as a verb, meaning to maintain or add content to a blog.
Achana na ubishi wa kizamani. Huo ubishi wa Simba na Yanga ushapitwa na wakati.
John Mashaka ni nani kwani?Ingawaje simjui lkn without any reasonable doubt hawezi mfikia hata nusu mwanazuoni Mwanakijiji kwa uchambuzi wa mambo kuhusu mustakabali wa tz!
I bet you,nusu ya wana JF hapa nikiwemo mimi na wengine great thinkers ama hawamjui jamaa huyu John Mashaka au kama wanamjua hana even negligible impact kimchango kuhusu maisha ya kila siku ya mtz maskini kama anavyochangia Mzee Mwanakijiji!
Kuhusu Michuzi na JF walahi uliyetoa hii thread haupo serious kabisa na maisha ya kila siku ya watz!Kama vuguvugu la mageuzi la watz hivi kwa hoja linaanzia JF hata kuna kipindi ikasabisha serikali iyumbe;iweje ufananishe na blog ya michuzi inayoweka picha kila siku za akina Flavian Matata,Klyn,Jide na hata bday za watoto na taswira anazoziita yeye"mikonoz"?Mtz wa kawaida anafaidika nini na blog ya michuzi?
JF ni great thinkers na inaheshimiwa na kila mtu!
UMBEA MTUPU, watanzania tunapenda kujikweza na kudharauliana sana, kila mtu ni zaidi kwa ANGLE yake, punde nitaanzisha thread ya nani zaidi kati ya FMES na jamaa fulani hivi namtunza jina kwanza, VERY SOON
wtf!!! grrrrrrrrrrrrrrrr!