Ahsante umefafanua vizuri lady jaydee kwenye sauti sio mzuri sanaKwa sauti na melody ray c yuko juu ule wimbo wa uko wapi jinsi unavyoimba na kuendana na melody pamoja na beat she's smart
komando jide yeye yuko vizuri kwa mashairi (lyrics) ila sauti zero melody kama analazimisha si mwimbaji wa bongo fleva bali anaimba gosper
Jay Dee sauti zero? What are you smoking??Kwa sauti na melody ray c yuko juu ule wimbo wa uko wapi jinsi unavyoimba na kuendana na melody pamoja na beat she's smart
komando jide yeye yuko vizuri kwa mashairi (lyrics) ila sauti zero melody kama analazimisha si mwimbaji wa bongo fleva bali anaimba gosper
Bila shaka mna Jide wenu tofauti na huyu tunayemfahamAhsante umefafanua vizuri lady jaydee kwenye sauti sio mzuri sana
😂Jay Dee sauti zero? What are you smoking??
For sureBila shaka mna Jide wenu tofauti na huyu tunayemfaham
Kabisa Ray c alikuwa anajua sana wengine ubishi tu umewajaaNyimbo pekee niliyowahi kuipenda ya JD ni hii moja tu
View: https://youtu.be/1fvUIl0w-pI?feature=shared
Ray C hana mpinzani
Kwa sauti na melody ray c yuko juu ule wimbo wa uko wapi jinsi unavyoimba na kuendana na melody pamoja na beat she's smart
komando jide yeye yuko vizuri kwa mashairi (lyrics) ila sauti zero melody kama analazimisha si mwimbaji wa bongo fleva bali anaimba gosper
Ahsante umefafanua vizuri lady jaydee kwenye sauti sio mzuri sana
Nimerudia mara mbili mbili kuangalia huu uzi ni wa lini... akilini nilidhani ni wa 2013Kuna magwiji wawili wa muziki wa kisasa kwa upande wa wanawake Tanzania—wanadada Rehema Chalamila (Ray C) na Lady Jaydee (Komando).
Kwa kuangalia melody, sauti, mashairi, pamoja na nyimbo walizoimba, walizoshirikishwa na kushirikiana na wasanii wengine—unaenda na nani?
Mimi binafsi, Ray C alinivutia zaidi; ana sauti nzuri na nyimbo nzuri sana.
Tuone kidogo hapa
Kuna zile alishirikishwa na nako 2 nako kwa ajili yako aliua sana👊, mama ntilie, Kama vipi ft mez B ,Baby ft Chidy benz na nyingine nyingi...
- Mahaba ya dhaati
- Uko wapi
- Sogea Sogea
- Wanifuatia nini
- Na wewe milele
- Sikuhitaji
Twende kazi vip kwa upande wako
Labda kwa kukata viuno!Kuna sehemu jide kazidiwa