Nani ZAIDI HAPAAAAA

mamba hapo lazima asalimu amri maana kakosea taimingi...kamkamata tembo kwenye silaha inayoangusha miti na hata magari....
 
Maalim Mzizi, naama nimekuvulia kofia.
 

Maalim, kuna wanyama wanatafuta kifo, ona jinsi Ngiri anavyo onyesha ubabe, baati yake yule Simba alikuwa ameshiba, walah angekuwa kitoweo.
 
Last edited by a moderator:
mamba ndani ya maji anatisha. Ndembo yenyewe hiyo nyama tu
 
tembo mtoto kanitia imani jamani pembeni ya mama yake!
sasa uyo mamba alikanyagwa na tembo ama alilala tu apo?
 
watotop bwana, na huyu wa tembo amekuwa kama wa gadafi kuamini kuwa bado baba yake ni mbabe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…