R Rambo man JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 243 Reaction score 364 Aug 7, 2022 #1 Salaam wakuu. Kama kuna mtu humu anapatika au ana mtu yupo Rukwa Kamsamba ajitokeze. Kuna issue muhimu natamani tudiscuss
Salaam wakuu. Kama kuna mtu humu anapatika au ana mtu yupo Rukwa Kamsamba ajitokeze. Kuna issue muhimu natamani tudiscuss
Kashaija72 JF-Expert Member Joined May 18, 2020 Posts 2,522 Reaction score 5,586 Aug 7, 2022 #2 Rambo man said: Salaam wakuu. Kama kuna mtu humu anapatika au ana mtu yupo Rukwa Kamsamba ajitokeze. Kuna issue muhimu natamani tudiscuss Click to expand... Kamsamba!!! Nafaham Kamsamba ya Nkala, Wilaya ya Momba, mkoa wa Songwe. Je Rukwa Kuna Kamsamba pia?
Rambo man said: Salaam wakuu. Kama kuna mtu humu anapatika au ana mtu yupo Rukwa Kamsamba ajitokeze. Kuna issue muhimu natamani tudiscuss Click to expand... Kamsamba!!! Nafaham Kamsamba ya Nkala, Wilaya ya Momba, mkoa wa Songwe. Je Rukwa Kuna Kamsamba pia?
R Rambo man JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 243 Reaction score 364 Aug 9, 2022 Thread starter #3 Kashaija72 said: Kamsamba!!! Nafaham Kamsamba ya Nkala, Wilaya ya Momba, mkoa wa Songwe. Je Rukwa Kuna Kamsamba pia? Click to expand... Yes, ipo naskia
Kashaija72 said: Kamsamba!!! Nafaham Kamsamba ya Nkala, Wilaya ya Momba, mkoa wa Songwe. Je Rukwa Kuna Kamsamba pia? Click to expand... Yes, ipo naskia
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,657 Reaction score 197,322 Aug 9, 2022 #4 Ngoja waje...
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,306 Reaction score 32,802 Aug 9, 2022 #5 Usije mtoa kafara
R Rambo man JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 243 Reaction score 364 Aug 9, 2022 Thread starter #6 Carrasco putin said: Usije mtoa kafara Click to expand... Nipo serious mkuu, kuna project ya drilling inafanyika huko nataka nijue
Carrasco putin said: Usije mtoa kafara Click to expand... Nipo serious mkuu, kuna project ya drilling inafanyika huko nataka nijue