donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,523
bora aseme vzr kama ni babu au kijana mwenzetu na mikato aliyopgaNawaona mpo wengi hapo Kaunta Mkuu. Nikutambuaje nisijekufaramia mtu kumbe nimeenda chaka.
Sasa Mkuu nimekuona lkn afadhali tu ungevaa Suruali, miguu midogo mno. Haikupendezi ukivaa Pensi. Alafu pensi yenyewe inakubana mapaja na ukikaa inapanda juu kama taiti.nimevaa T-shirt nyeusi na pensi umenisoma npo kaunta
Karibu mkuuNakuja nipo nyuma yako
Kaunta ya kwanza au ya pili mkuunimevaa T-shirt nyeusi na pensi umenisoma npo kaunta
HahahahNawaona mpo wengi hapo Kaunta Mkuu. Nikutambuaje nisijekufaramia mtu kumbe nimeenda chaka.
Wewe ukiwa mmoja wao. Hahahha! Wahi fasta Mkuu. Utatukuta sisiDuhhhh nahisi kuna watu washakodi bodaboda wanakuja. Baada ya 30min utakimbia tu
Nipo nyuma yako mkuuWakuu,
Jioni njema. Ndauli? Wamisha khinehe, mwadila, mapembelo,aslam aleykum etc. I hooe wote tuko poa,
Kama kuna mkuu yeyote as we speaking he/she is currently here at the calabash kama yuko anapata kilaji,marumbusi au kuchek game ya arsenal vs stock, njoo hapa kaunta upate ofa ya kinywaji kutoka kwa donlucchese 'The McLaren Theorem guy'
Hahaha nshahama kauntaDuhhhh nahisi kuna watu washakodi bodaboda wanakuja. Baada ya 30min utakimbia tu
Suti mkuubora aseme vzr kama ni babu au kijana mwenzetu na mikato aliyopga
Seriously Mkuu. Sema tukujie utupe Smirnoff moja Chap tujisepeeHahahah
Sasa Mkuu nimekuona lkn afadhali tu ungevaa Suruali, miguu midogo mno. Haikupendezi ukivaa Pensi. Alafu pensi yenyewe inakubana mapaja na ukikaa inapanda juu kama taiti.
Sasa ndo mambo gani Umeshuka Kaunta na suti yako unaelekea upande ule wa mechi? Afu miwani yako meusi umeificha wapi?Hahaha nshahama kaunta
yan watu mnavitukoSasa Mkuu nimekuona lkn afadhali tu ungevaa Suruali, miguu midogo mno. Haikupendezi ukivaa Pensi. Alafu pensi yenyewe inakubana mapaja na ukikaa inapanda juu kama taiti.