Nani yuko tayari azomewe, nani yuko tayari atukanwe? HAKUNA

kingongo

Member
Joined
Nov 10, 2013
Posts
18
Reaction score
2
Hali ilivyo mitaani, vijiweni na sehemu za mikusanyiko ni zomea zomea tu kwa kila anayejinasibisha na CCM na yeyote yule anaempnga Lowassa.
Nionavyo mimi si kila mtu yuko tayar kuzomewa wala kudhalilishwa hvyo kila mtu atabaki na dukuduku lake rohoni mpaka 25 October.
Sasa baada ya hapo sasa ndo nachelea kusema tunaeza tusiamini macho yetu na ikitokea tuliowaamin nao wakashindwa kukubali sijui itakuaje. Mimi nimewaza tu
 
ccm mwaka huu sera zao ni ulaghai mtupu. kwa mfano mama samia anawahaidi kuondoa tatizo la maji dar wakati serikali iliyopo madarakani ni ya ccm. huu ulaghai utaliangamiza taifa letu..
 
Wamebaki kudandia agenda za ukawa kwa mfano chadema wamesema wakiingia ikulu walimu watalipwa posho kama kada zingine, magufuli anashangaa kwa nini walimu hawana posho na ameahidi ccm ikingia madarakani atawalipa posho huku kwenye ilani ya ccm hakuna kitu kama hicho, je magufuli kaitoa wapi hiyo?
 
nyie mliodandia rejekti za ccm zilizotemwa kutokana na tatizo la uadilifu hamjioni. mnachona ni ccm kudandia hoja za ukiwa, kazi mnayo. ulifanikiwa kuona nyomi ya morogoro lakini?

au unataka kutuaminisha hawowagombee wenu urais kipitia chadema walikuwa kwenye agenda zenu. kudandia mdandie nyie tu basi, wakidandia wenzenu hawana agenda.
 
acha kuwa kibaraka wewe ungekuwepo enzi za ukoloni wakoloni wangekujua kwa jina maharage ya mbeya
 
kibaraka!!! sailalee!! usinifanye kuongea kilugha mimi. haya yote mmeyataka wenyewe baada ya ghafla kuamua kubadili gia angani. ni utashi wenu.

tatizo lenu mnafanya mambo ka mazezeta vile. wakati wenzenu wa ccm wanaiga agenda za maana na kuachana na uchafu nyie mnaiga na kuchukua uchafu na vitu vya hovyoo!
 
nyie mliodandia rejekti za ccm zilizotemwa kutokana na tatizo la uadilifu hamjioni. mnachona ni ccm kudandia hoja za ukiwa, kazi mnayo. ulifanikiwa kuona nyomi ya morogoro lakini?

au unataka kutuaminisha hawowagombee wenu urais kipitia chadema walikuwa kwenye agenda zenu. kudandia mdandie nyie tu basi, wakidandia wenzenu hawana agenda.

akili za kuazima ni shida sana unajiona unazo mwenyewe . mbuzi maji wewe
 
ccm mwaka huu sera zao ni ulaghai mtupu. kwa mfano mama samia anawahaidi kuondoa tatizo la maji dar wakati serikali iliyopo madarakani ni ya ccm. huu ulaghai utaliangamiza taifa letu..

Hivi unajua ni kwann wanasema hivyo au unaongea uzwazwa, unajua jitihada za serikali ya awam ya nne kuimarisha miundombinu ya ruvu zote mbili...kama huelewi chochote bora unyamaze acha blabla
 
Wamebaki kudandia agenda za ukawa kwa mfano chadema wamesema wakiingia ikulu walimu watalipwa posho kama kada zingine, magufuli anashangaa kwa nini walimu hawana posho na ameahidi ccm ikingia madarakani atawalipa posho huku kwenye ilani ya ccm hakuna kitu kama hicho, je magufuli kaitoa wapi hiyo?

Naona mpaka wamedandia na hoja ya ufisadi iliyokuwa hoja kuu ya Chadema huko nyuma
 
Wamebaki kudandia agenda za ukawa kwa mfano chadema wamesema wakiingia ikulu walimu watalipwa posho kama kada zingine, magufuli anashangaa kwa nini walimu hawana posho na ameahidi ccm ikingia madarakani atawalipa posho huku kwenye ilani ya ccm hakuna kitu kama hicho, je magufuli kaitoa wapi hiyo?
Mkuu hatudanganyiki, kwa miaka mingi CCM imetutumia kama ngazi huku ikitunyanyasa na kututukana. Mwaka huu hatutaki mbwembwe za CCM wala ulaghai wao mwendo ni UKAWA tu.
 
ccm mwaka huu sera zao ni ulaghai mtupu. Kwa mfano mama samia anawahaidi kuondoa tatizo la maji dar wakati serikali iliyopo madarakani ni ya ccm. Huu ulaghai utaliangamiza taifa letu..

mradi wa ruvu chini ' ujenzi unakamilika mwezi wa sita

wewe wapi kwenu ; si mwenyeji wa dar
 
nyie mliodandia rejekti za ccm zilizotemwa kutokana na tatizo la uadilifu hamjioni. mnachona ni ccm kudandia hoja za ukiwa, kazi mnayo. ulifanikiwa kuona nyomi ya morogoro lakini?

au unataka kutuaminisha hawowagombee wenu urais kipitia chadema walikuwa kwenye agenda zenu. kudandia mdandie nyie tu basi, wakidandia wenzenu hawana agenda.
Kweli wewe ni kikojozi angalia hata ulichokiandika hakieleweki unaonekana hata elimu ya msingi hujabahatika kupata na mimi nasema bora uendelee kukosa maana hamna namna nyingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom