Nani yuko online now tuchati tyuu

Mtolera

Member
Joined
May 2, 2016
Posts
47
Reaction score
22
Hii Ni kutokana na kutopata usingiz usiku wa Leo so Plz kma huna kma mimi comment namba nitakuchek [emoji18]
 
Pole kwakukatikiwa Na usingizi. Tupo wengi wenye tatizo kama ilo . Mimi naona dalili za kutoboa siku ya tatu leo
 
Tim popo tuko wengi asee du nilizan niko mipekee yangu
 
Mmh kwakweli Ila kiafya utakua na tatizo mkuu Hali hiyo inaitwa insomnia inatokana na depression na fear pamoja na vitu vingine so jitahid angarau uhuzulie kwa mwana psychologia wa,Karibu yako atakupa mengi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…