Nani waziri bora kwa mwaka 2012?

Headless Person

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2012
Posts
307
Reaction score
58
Wana JF, mwaka 2012 ndio unaishia ukingoni hivyo basi ningependa kila mmoja atoe maoni yake kuhusiana na utendaji kazi wa mawaziri wetu. Tufanye evaluation kwa kipindi chote cha mwaka 2012. Unafikiri ni nani anastahili kuwa waziri bora wa mwaka?. Si vibaya pia kama utamtaja na naibu waziri bora wa mwaka 2012. Karibuni.
 
Hakuna hata mmoja wote ni wanafiki tu.
 
1. mwakyembe waziri wa uchukuzi
2. balozi kaghasheki waziri wa maliasili na utalii
3 prof sospeter muhongo waziri wa nishati na madini
 
Mwakyembe- at least tuna treni jijini Dar es salaam japo alicheleweshwa na mafisadi pamoja na kuwekewa polonium, yet amefanya kazi.
 
Prof. Sostene Muhongo...
 
1. mwakyembe waziri wa uchukuzi
2. balozi kaghasheki waziri wa maliasili na utalii
3 prof sospeter muhongo waziri wa nishati na madini

Kagasheki mnafiki sana Bukoba mjini.
 
1. mwakyembe waziri wa uchukuzi
2. balozi kaghasheki waziri wa maliasili na utalii
3 prof sospeter muhongo waziri wa nishati na madini
Mkuu ungemtaja waziri mmoja tu aliye bora kuliko wengine.
 
Mwakyembe- at least tuna treni jijini Dar es salaam japo alicheleweshwa na mafisadi pamoja na kuwekewa polonium, yet amefanya kazi.
Nashukuru kwa mchango wako. Vipi kuhusu naibu waziri bora?
 
Huwezi ukatoa mtihani wa wajinga alafu mtu wa mwisho akapata 50% ukasema yeye ana afadhali kuliko aliyepata 100%.Wote ni wajinga,angekuwepo aliyepata 0% tungesema ana afadhali.Sasa unaposema waziri mwenye uafadhali kidogo hakuna.Wote bado sana,hata aliyeleta Treni Dar,ni majukumu yake,wa umeme ndio usiseme,anasema hamna mgao wakati umeme unakatika kila siku,anasema gase ipo,bei ya umeme inapanda kila mwaka utadhani kodi za serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…