Nani wa kuzaa nae?

Looks and brains are not enough... Ndo hapo tunakosea. Wenzetu huangalia family tree(NOT TRIBE TREE)... maana other heredity factors are more significant than looks and brains and have a greater impact on what a child is or becomes.
 
Lara1...Itabidi niangalie je una nikishanunua ntakupangisha kwanza bure miezi 2/3 ya trailler na huo ndo utakuwa mgao wangu kwako.....Dalali ndo anaharibu maisha yangu cha juu chake inakuwa kama namtolea yeye mahari bwana.....
 
Mbona liko wazi.....anataka kununua nyumba..

Kiteitei..... unatakiwa kuwa mwelewa tu,wala usitumie nguvu,haiitaji kuwa na Phd kutambua mada kuu ni nini,hata kama umepewa insha,lakini kama umewekewa na heading unaweza kuingia chaka kweli,itabidi niwe mwalimu sasa
 
Mbona liko wazi.....anataka kununua nyumba..
Lol...
Mi nilivyoona kununua nyumba tu nikajua muendelezo atasema anataka wa kuzaa nae nyumba ya kulelea mtoto ipo no kelele za fazahausi
 
"bora kuzaa na mwanamme handsome bwana akupe mbegu/sura safi ya mtoto,mwingine akamwambia hapana vizuri uzae na mwanamume Msomi kichwa inachemka,atasaidia kupata mtoto mwenye akili na kupunguza ma ada ya shule kwa kutokuwa mzembe darasani,


TATIZO HAO WOTE VICHWA VYAO NI MBURURA NDIO MAANA WANATAK HIVYO VIGEZO. AKINA DADA KAZI MNAYO , hapo kama sura zenu ni mawe hata iweje hao hamuwapati ng'o. TUNATAKAMKITU PORTABLE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…