MimiKwanza tujikumbushe Majina ya Wakuu wa Jeshi la Polisi tokea uhuru:
Elangwa N.Shaidi 1964 - 1970.
Hamza Azizi 1970 - 1973
Samwel H. Pundugu 1973 - 1975.
Philemon N. Mgaya 1975 - 1980.
Solomon Liani 1980 - 1984.
Harun G Mahundi 1984 - 1996.
Omary Maita 1996 - 2006
Saidi A Mwema.2006 - 2013.
Ernest Mangu 2014 – 29/05/2017.
Simon Sirro 29/05/2017 – HADI SASA.
Kwa kuwj uongozi ni kupokezana kijiti, Najiuliza ni nani ataweza kurithi viatu vya Insipekta Sirro (IJP)
Giresi Muroto.......yule amekaribia kustaafu yuleMzee Wa "watapata tabu sana"
HahahahaMimi
Huyu hapa..Kwanza tujikumbushe Majina ya Wakuu wa Jeshi la Polisi tokea uhuru:
Elangwa N.Shaidi 1964 - 1970.
Hamza Azizi 1970 - 1973
Samwel H. Pundugu 1973 - 1975.
Philemon N. Mgaya 1975 - 1980.
Solomon Liani 1980 - 1984.
Harun G Mahundi 1984 - 1996.
Omary Maita 1996 - 2006
Saidi A Mwema.2006 - 2013.
Ernest Mangu 2014 – 29/05/2017.
Simon Sirro 29/05/2017 – HADI SASA.
Kwa kuwj uongozi ni kupokezana kijiti, Najiuliza ni nani ataweza kurithi viatu vya Insipekta Sirro (IJP)
JPM - "I wish i could be IJIPII