Nani wa kumfunga Lowassa kengele?

Mkuu wangu KK. Lowassa ana makosa yake kama mwanadamu yeyote,lakini maoni ya wanasiasa muflisi kutuaminisha Watanzania kwamba yeye ndiye tatizo na tuko hapa kwasababu ya Lowassa nayakataa kwa nguvu zote! Hawa wanasumburiwa na uwoga maana hawana mafanikio yeyote wanaweza kuonyesha ktk utendaji wao ktk serikali na chama kujilinganisha na Lowassa. Toka kesi ya fidia ya Dowans ambako tutalipa mabilioni ya shilingi kwasababu ya vita ya makundi hasimu ndani ya CCM kugombea madaraka huwezi niaminisha tena kwamba ndani ya CCM kuna viongozi wanapambana na ufisadi. Wote hawa ni mafisadi. Tena heri ya Lowassa alikubari kuwajibika kwa makosa ya chini yake.
 
Nyerere alikuwa na nguvu kupita katiba! hivyo alipofariki kaacha katiba ambayo haina nguvu kumpita raisi wa Tanzania. unaposema Nyerere ni mzalendo wa kweli una maana gani? Mbona mwaka 1973 alivunja uhusiano wa kibalozi na Israel halafu nchi yetu ilipoteza mamilion ya pesa ambazo zilikuwa zinatokana na utalii wa kiyahudi kuja tanzania, mauzo ya mbao Israel na mauzo ya mkonge? na alifanya hivyo si kwa sababu ya wananchi wa tanzania bali kwa sababu ya wananchi wa Misri!!

ndugu yangu kunamzee mmoja mstaafu wa jeshi nilimsikia akiongelea hiyo ishu ya ugomvi kati ya tanzania na israel,kweli inasikitisha na ndipo nilipogundua ubinafsi wa huyo mzee,na kujiuliza ukowapi umakini anaosifiwa nao.
 
Nukuunga mkono mkuu,hasa hapo kwenye nyekundu
 
Tz na mambo yake:
>Jk alisema mramba jembe la zamani makali yale yale
> Rostam alipigiwa magoti na ccm awafanyie kampeni Igunga
> JK alimsifia Lowasa kwa uchapa kazi kampeni za 2010
> Chenge anazo akaunti nje ya nchi kinyume cha sheria, bado mtu muhimu ndani ya ccm
> Ngeleja na Jairo mambo yao kimyaaaa!!>
>Makinda na posho za wabunge. Wabunge ni zaidi ya binadamu/watu. Sawa dada Makinda!!
> Sherehe za miaka 10 ya uhuru zingejenga reli km ngapi? Hii ingekuwa kumbu2. Tulishiba tukatupa chooni labda tutapata mbolea.
> Urais ni suala la kifamilia siyo taasisi
Tunahitaji mabadiliko.
 
Hakunaga kama lowasa,ccm created a Monster in their hands and now non of them gonna stop him,he is turning back on them and the hunter now is hunted
Hii inanikumbusha ile picha ya wanyama wa ajabu ambapo wanasayansi wanatengeneza wanyama na kushindwa kuwakabili. Ebu angalia mtandao wa CCM unavyoitesa nchi yetu. Wamewachafua wenzao katika uchaguzi wa 2005 kumbe walikuwa na agenda zao. Watanzania tuwe makini na mchezo huu wa watawala. Matukio kama ya milipuko ya mabomu, ajali za ajabu ajabu, kikombe cha Babu na migomo mbalimbali inatia shaka. Dawa pekee ni kuwaondoa madarakani genge hili ifikapo 2015.
 
Lowasa ni mtendaji mzuri na atarudi kumalizia kazi yake.

Nitajie matendo mazuri japo mawili tu ya kutuaminisha. Mtu ambae anashabikia rushwa ni wa kuogopa kuliko ukoma. ana matendo gani mazuri huyo ambayo hajayamalizia?
 
Mkuu wangu KK. Lowassa ana makosa yake kama mwanadamu yeyote,lakini maoni ya wanasiasa muflisi kutuaminisha Watanzania kwamba yeye ndiye tatizo na tuko hapa kwasababu ya Lowassa nayakataa kwa nguvu zote! Hawa wanasumburiwa na uwoga maana hawana mafanikio yeyote wanaweza kuonyesha ktk utendaji wao ktk serikali na chama kujilinganisha na Lowassa. Toka kesi ya fidia ya Dowans ambako tutalipa mabilioni ya shilingi kwasababu ya vita ya makundi hasimu ndani ya CCM kugombea madaraka huwezi niaminisha tena kwamba ndani ya CCM kuna viongozi wanapambana na ufisadi. Wote hawa ni mafisadi. Tena heri ya Lowassa alikubari kuwajibika kwa makosa ya chini yake.

Aliwajibika au alistaafu? Maana hadi kesho wanamuita waziri mkuu mstaafu.
 
Lowassa ana laana kubwa mwacheni iko siku ataibika kuliko siku ile ya richmond.
Laana tayari imeshamfunga kengele nashangaa wengi hawaioni.
Uwaziri Mkuu aliukana KWA MDOMO wake mwenyewe,tatizo watu hawaulizi kiini cha hiyo laana.
 
Nyerere alikuwa na nguvu kupita katiba! hivyo alipofariki kaacha katiba ambayo haina nguvu kumpita raisi wa Tanzania. unaposema Nyerere ni mzalendo wa kweli una maana gani? Mbona mwaka 1973 alivunja uhusiano wa kibalozi na Israel halafu nchi yetu ilipoteza mamilion ya pesa ambazo zilikuwa zinatokana na utalii wa kiyahudi kuja tanzania, mauzo ya mbao Israel na mauzo ya mkonge? na alifanya hivyo si kwa sababu ya wananchi wa tanzania bali kwa sababu ya wananchi wa Misri!!

Nyerere huyo aliwakataza waafrika kufanya biashara akawaachia wahindi wafaidi!
 
Hakunaga kama lowasa,ccm created a Monster in their hands and now non of them gonna stop him,he is turning back on them and the hunter now is hunted
Mimi siamini kama CCM inaweza kuthibiti rushwa kwakuwa wao ndio waasisi wake kwa jina la takrima. Vivyo hivyo wao ndio waanzilishi wa siasa za kuchafuana ambazo wanaziita siasa za majitaka.
 
ndugu yangu kunamzee mmoja mstaafu wa jeshi nilimsikia akiongelea hiyo ishu ya ugomvi kati ya tanzania na israel,kweli inasikitisha na ndipo nilipogundua ubinafsi wa huyo mzee,na kujiuliza ukowapi umakini anaosifiwa nao.

Na support aliyowapa Biafra na Ojukwu mpaka jamii zikamshangaa kwa hilo.

RIP Ojukwu msalimie rafiki yako
 
Back
Top Bottom