Nani wa kumfunga Lowassa kengele? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani wa kumfunga Lowassa kengele?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PISTO LERO, Mar 4, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Tumeshuhudia mbio, misemo na hararati za kupunguza nguvu LOWASSA bila mafanikio.

  Wakati karibu robo ya wana CCM wakisema hawamhitaji, robo tatu wanamkumbatia na kusema huyu ndiyetunamhitaji,wakati vyama vya siasa na asasi za kiraia pamoja na baadhi ya makanisa wakimpìnga na kidiriki kurudisha hata fedha za mmoja wa washirika wake(ROSTAM), huku baadhi ya makanisa na misikiti wamaemua kurudia mataishi yao kwa kuwageuka wananchi na waumini wao kwa kuwasalita na sasa wanajinafasi na fedha haram na wengine kuduriki kuzisifia na kuzitakasa bila kujali hali za waumani wao.

  Wakati TUKUKURU wakijisifù kuwa wameweza kuwadhibiti watoa rushwa ARUMERU na kushangilia kama mazuzu,huku LOWASA anaamuwa kuwadhibitishia kuwa anaweza kwa kuwahonga wana CCM haohao na hatimae mtuwake amepita tena wanasema kwa kishindo,sasa wananchi tumebaki kushangaa bili kujia nani anayeweza kutusaidia maana watetulio wategemea wametusaliti na sasa wanakula na kulala pamoja na wabaya wetu.

  Swali la kujiuliza ni je? Hizo fedha anazowahonga makanisa, misikiti, baadhi ya vyombo vya habari na wana ccm wenzake,anazitoa waipi?kama anapewa na marafikizake je?ataliaje fadhila hapo badae?

  WATANZANIA SASA YATUPASA KUZINDUKA NA KWA MAKINI KULIKO WAKATI WOWOTE VITAHIVI TUMEACHIWA WENYEWE NA TUSITEGEMEE MSAADA TENA KWANI WOTE SASAHIVI NI WASALITI NA HAWANA HURUMA NA SISI.
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu hata mimi nilishangaa baada ya kupitishwa Sioi akapingwa eti siyo raia!!! Zengwe hilo halijaishia hapo bali kuwakamata watu wanaosadikwa wafuasi wa Lowasa kwa tuhuma za rushwa!!!
  PCCB wasioangalia wataangukia pua katika suala hili la Lowasa kwa kufanya kazi kwa maelekezo badala ya weledi.
  Mtoa rushwa amesema amepewa na mwanae Lowasa Fredy sasa kwa nini asikamatwe badala yake unasema unaendelea na uchunguzi feki sijui mpaka lini!

  Kweli naanza kuamini hakuna wa kumfunga kengele fisadi Lowasa isipokuwa wananchi na tena vijana.
   
 3. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Wakati wengine wameona leo wewe umeona keshokutwa mkuu vita ni ya kwetu hatuna msaada tena ni budi kupigana mpaka tone la mwisho la damu yetu aluta continua
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,844
  Trophy Points: 280
  Nape ..............
   
 5. FYATU

  FYATU JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 3,939
  Likes Received: 2,145
  Trophy Points: 280
  Lowassa ana laana kubwa mwacheni iko siku ataibika kuliko siku ile ya richmond.
   
 6. montroll

  montroll JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 288
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  ishu hapa ni ujinga wa wa tz. Hawana uwezo wa kupambanua na kufikiri na kuamua bila shinikizo la rushwa na maneno matamu ya uongo na matamu toka kwa wanasiasa na wapambe wao. Yaani watz wengi wana akili za kushikiwa.
  Nasema hivi kwa sababu sielewi kwanini watu wanawasiwasi wa fulani kugombea, hata kama ni jambazi na hajatiwa hatiani anahaki ya kuchagua na kuomba kuchaguliwa. Sasa kukubaliwa na wapiga kura ni swala lingine.

  Ujinga wa watz juu ya kuchagua na kuamua jambo sahihi ndio tatizo!
  Tupambane na hilo tatizo kwanza halafu haya yote ya kina EL,RA,CCM,CDM,CUF nk hayatasumbua kwani wananch wataweza wenyewe kuchambua pumba na mchele.

  Vinginevyo nadiriki kusema haya yote kwa sasa ni ubatili mtupu.

  Tatizo ni watz na uwezo duni wa kufikri juu ya mstakabali wa maisha yao na vizazi vijavyo. Wanaangalia leo, hata kesho tu kwao ni mbali!

  Tutoke hapo jamani, tunatumia rasilimali nyingi kuwapiga vita watu waili watatu kwanini? Si huu nao ni ujinga tu?
  Hizo rasilimali laiti zingetumika kuelimisha watu kuwa na fikra pevu na endelevu, hao akina EL na wengine wangeachwa halafu wanachi walio na fikra pevu,endelevu na positive wangeamua wenyewe kwenye uchaguzi. Na hapa nikisema wananchi ni pamoja na wajumbe wa kamati mbalimbali za vyama vya siasa na kamati zenyewe.

  Nawakilisha.
   
 7. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,071
  Likes Received: 4,008
  Trophy Points: 280
  Dr Mwakyembe ila ndo hivyo tena anamung'unyika kidogo kidogo...watu wabaya!
   
 8. zeus

  zeus JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mkuu, na hili ni tatizo kubwa. utakuta mtu alihongwa kofia na fulana ili ampigie kura mgombea fulani, ukija uchaguzi mwingine anahongwa tena rushwa ile ile ya kofia na fulana au kanga halafu anampigia huyo mtoa rushwa kura tena....na inakuwa hivyo miaka na miaka. uwezo wa watz wengi wa kufikiri ni mdogo sana...na ni kila sehemu, na katika kila sekta.
   
 9. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  kafanyanini ndugu umetuacha hewani
   
 10. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Lowasa ni mtendaji mzuri na atarudi kumalizia kazi yake.
   
 11. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu mimi naamini kabisa hii kashfa ya richmond ni zaidi ya lowasa peke yake,nina amini kabisa Lowasa ametolewa kafara tu ila kuna wahusika au muhusika mwingine wa level ya Lowassa au wa zaidi ya level ya Lowassa!sitaki kumtetea Lowassa kwa sababu ninajua Lowassa ni mchafu hata kabla ya richmond ila nataka tuliangalie ili la richmond kwa jicho la tatu!nikirudi kwy point ni kua hakuna wa kumfunga lowasa kengere kwa kua wote wanaotakiwa kumfunga lowassa kengele either hawana meno,wamezibwa midomo na wenye meno na wenye meno nao hawawezi kumfunga kengele kwa kua nao ni wachafu!wakuamua na kumfunga huyu mtu kengele ni wananchi wenyewe,ingawa kwa watanzania ni sawa na kuhamisha mlima kilimanjaro uje Morogoro!kwa kweli uwa namkumbuka sana mwalimu julius kambarage nyerere mzalendo wa kweli ambae hakua na mzaha aonapo Tanzania kama taifa linachezewa
   
 12. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  ya kulipiza kisasi? Au kumalizia kuuza sehem iliyo baki
   
 13. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
   
 14. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #14
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Nyerere alikuwa na nguvu kupita katiba! hivyo alipofariki kaacha katiba ambayo haina nguvu kumpita raisi wa Tanzania. unaposema Nyerere ni mzalendo wa kweli una maana gani? Mbona mwaka 1973 alivunja uhusiano wa kibalozi na Israel halafu nchi yetu ilipoteza mamilion ya pesa ambazo zilikuwa zinatokana na utalii wa kiyahudi kuja tanzania, mauzo ya mbao Israel na mauzo ya mkonge? na alifanya hivyo si kwa sababu ya wananchi wa tanzania bali kwa sababu ya wananchi wa Misri!!
   
 15. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #15
  Mar 4, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Tunatarajia chadema ndio iifanye hiyo kazi maana hatujasikia ikimchana hadharani Lowassa kwa muda sasa na pia kumekua na taarifa chadema hasa viongozi wa juu wamekua na ukaribu unaotia mashaka na lowassa;je chadema wamewasaliti watz kwa kukumbatia mafisadi na si kuwapinga kama walivyojipambanua mwanzo na kujipatia umaarufu kwa upambanaji huo?
   
 16. t

  thatha JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  wapi misikiti imepokea pesa za richmond? Makanisa yamezoea kula jasho la watz. Misikiti hakuna upuuzi huo. Haya ni mambo ya kanisa. Acha kupakazia nyumba za mungu misikit na pesa za fisadi
   
 17. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #17
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  KIM:mimi naona hata hao chadema wamechoka sasa maana kila wanapo jaribu kuonyesha uchafu wa lowesa,makanisa na misikiti wanamwalika kwenye harambee na kumsafisha
   
 18. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #18
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nyerere alikua ana uhalali wa kuongoza nchi hii kwa katiba iliyopo japo ina mapungufu na kumpa madaraka makubwa sana rais,kwa vile hakuwa mlafi,alikua mzalendo na alikua msafi,lakini kwa sasa katiba hii haifai kwa kua viongozi waliopo ni walafi,wezi na hawana uzalendo na nchi yao wanatumia udhaifu huo wa katiba iliyopo kufanya madhambi hayo- proff Issa Shivji (quoted kwy kongamano la katiba udsm) tukirudi kwy suala la kuvunja balozi na mamilion yaliyopotea kutokana na kupoteza watalii na biashara ya mbao kwa israel (japo sina uhakika nitajaribu kupata ukweli) wewe unaona lipi bora,kuruhusu rasilimali zetu kama tanzanite,dhahabu,wanyama kuchukuliwa kiholela na wachuuzi uchwara wa nje wanaojiita wawekezaji wakati taifa halina linachofaidika nacho zaidi ya kupoteza,kuingia mikataba mibovu inayowafanya watu wachache kua mamilionea au huo uhusiano wa kibalozi na Israel aliovunja Nyerere mwaka 1973?try to think big alafu uje na jibu la kueleweka
   
 19. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #19
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hakunaga kama lowasa,ccm created a Monster in their hands and now non of them gonna stop him,he is turning back on them and the hunter now is hunted
   
 20. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #20
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Try to think big my fellow Tanzanian,sio kila post lazima uweke ushabiki wa chama
   
Loading...