Kelvin Temba
Member
- Apr 18, 2013
- 79
- 13
Ukitaka kura za wananchi wewe mgombea Uraisi wa nchi hii wahakikishie wananchi kwamba huna pesa nje ya nchi hii, uwe na ujasiri wa kuwakemea walio na pesa nje ya nchi na uwape siku 30 wazirudishe. pia waambia wananchi maoni yenu yaliyotupwa na bunge la katiba yatarudihwa hasa yale yaliomo katika rasimu ya katiba ya warioba. walio kula pesa za escrow na richmond utawashughulikia katika kipindi cha mwezi mmoja Kama wewe mgombea uraisi wa ccm huwezi kusema katika hayo, basi watanzania mfunguke akili zenu hawa ni watawala wa kulindana