GE2025 Nani unatamani awe waziri 2025-2030

GE2025 Nani unatamani awe waziri 2025-2030

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Secret person

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2019
Posts
334
Reaction score
795
Yupi mbunge unatamani awe Waziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2025-2030.

Maoni yangu
1. Paul Makonda.
2. Doto Biteko.
3. Dorothy Gwajima.

Nitajie wabunge watarajiwa watatu unatamani wawe mawaziri.
 
Wote hao hawana hata sifa ya kuwa wabunge, ila bas tyuuh.
 
Waziri mkuu bila shaka atakuwa Makonda.

Au kwa mara ya kwanza waziri mkuu anaweza kuwa mwanamke.

Kipaombele cha Raisi Samia ni wanawake na vijana.
 
Bora hata Dorothy Gwajima na Biteko wana Utu ndani yao
 
Yupi mbunge unatamani awe Waziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2025-2030.

Maoni yangu
1. Paul Makonda.
2. Doto Biteko.
3. Dorothy Gwajima.

Nitajie wabunge watarajiwa watatu unatamani wawe mawaziri.
Garbage. Hakuna hata mmoja so to speak.
 
Back
Top Bottom