Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,027
- 142,931
Hahahaha ile ukiliona ndo limefungasha wowowo alafu unapigwa wimbo ule piga bastola waaaaaa dah mimi huwa nalewa kabisa
Wapi hiyo? Ti menambia inawasha mbio kuelekea kijijini kwetu.....
ODM inaweza ku do the needful fasta!
That's right. I make it rain and if your boyfriend is lame I'll make it rain on ya. I know he never makes it rain like Southern California. So get your umbrella, get your rain coat coz I'm gonna make it flood and you probably gonna need a boat! Holla....
acha tu...kigonsera,mbinga,lituhi...manda kidogo...ahh uyumwiki kadala!!!!!
That's right. I make it rain and if your boyfriend is lame I'll make it rain on ya. I know he never makes it rain like Southern California. So get your umbrella, get your rain coat coz I'm gonna make it flood and you probably gonna need a boat! Holla....
Mi nikiingia hapa na kuwakosa hawa wa kila siku Husninyo,Dena,NN,CPU na Lizzy panakuwa panapooza,nikitaka kucheka natafuta posts za Kloro na Rose.Kuna hawa wa msimu Cheusi,Fidel,Aspirin napenda kuwasoma.Kuna Nemo lazima atakuwa wakili bila kuwasahau Nyamayao,MJ1 na Mbu.Pauline na Keren napenda tabasamu lao.Sichukii mtu wala kuboreka na mawazo ya watu najuwa kila mtu ana siku zingine mbaya maishani.
Naamanisha tungependa kuwaona zaidi mkiwa araundi.Muheshimiwa uporoto, hawa wa "msimu" unamaanisha nini?
Mi msimu wa masika, netiweki huwa inaishia kwenye matikiti....so am sorry.
kama ilivyo majumbani..maofisini au hata mtaani lazima kila mtu kuna watu anaowapenda (admire) zaidi ya wengine na wengine huwapendi (disapprove of ..get disgusted with...dislike) kwa mambo wanayofanya au wanavyoyafanya.hii ni hali ya kawaida tu kwahiyo naamini hata hapa jf wapo wanokuboa kwa namna moja ama nyingine.
Kwahiyo swali langu ni hivi nani/kina nani hapa jf unawaadmire kiasi kwamba hata wakichangia thread ambayo wewe hujaifurahia utaingia tu ili kujua walichoandika wao?!
Na je kina nani michango yao na thread zao zinakuacha umeshanga tu na kujiuliza hivi huyu mtu vipi?!
Mi nakua wa kwanza kusema nnaowadmire ni wengi kuliko wanaonishangaza...kwahiyo hawa ntawataja baadae!anaeniboaga ni nn au nyani ngabu ukipenda...yani mshkaji ye michango yake mingi inaashiriabye anajiona ni bora kuliko!kila kitu anajua yeye...na kila mtu amsikilize yeye.kama tungekua tunaongea kwa sauti ningesema ni mmoja wa wale watu wasionyamazaga na kumuacha mwingine aongee.hata kama hajui kitu atajifanya na kungania anajua!
So
next ni babu yangi asipirini...japo nampenda sana ila akianzaga kutetea infidelity basi naishia kutamani asingekua babu yangu nimpe kavu za uso!!sorry babu...nimekua mkweli tu!!!
So vipi wewe......?!usisahau sababu ili kama mhusika anaweza ajirekebishe au aendeleze libeneke kwa kinachofagiliwa!!
Naamanisha tungependa kuwaona zaidi mkiwa araundi.
Uhasama kwakuambiwa ukweli?Huo utakua utoto!!!Mbona mi sina uhasama na Hus?!
Hapo si kutoka 2008 ? lakini miezi ya karibuni kidonge kinachohakikisha hupati ugonjwa wa moyo kama unameza huonekani vilivyo kibande hii.Hivi kuna lijitu liko online na lililokuwa adiktedi na JF kama li-kidonge asipurini? Hebu angalia hii red hapa down:
Location : Martenity Ward
Posts : 13,743
Thanks:
4,906
Thanked 5,945 Times in 3,859 Posts
Rep Power : 52
Hapo si kutoka 2008 ? lakini miezi ya karibuni kidonge kinachohakikisha hupati ugonjwa wa moyo kama unameza huonekani vilivyo kibande hii.
Ananiboa klorokwini kila muda ni muda wa utani ila ananifurahisha kila nikimsoma lazima nismile.
Ananiboa lizzy threads zake nyingi ni ndefu sana ila ananifurahisha kwa ujumbe anaotoa na alivyo mchangamfu.
Wananiboa wale wote ambao ni wagumu kuchangia threads za wenzao ila ni wepesi kuanzisha zao.
Wananiboa wale wote ambao ni wepesi kukasirishwa na comments za humu ndani hadi kuporomosha matusi.
Wengine sielewi kama wananiboa au wananifurahisha. Mfano figganigga.
Huo ndio ukweli wangu ila nawapenda wote. Mungu awape nguvu na afya.
Kamanda we juzi tu si ulikuwa unapeleka posa kwa kina Michelle ? halafu Hus anapendwa na masharobaro alianzaFigganigga na leo Sharohiphop kamzimikia/dondokea kule Chitchat hahaha!heheh mwalim wangu wa sayans jamii alinambia mwanamke akisema unamboa basi ujue mambo mazuri, haya njoo PM haraka husninyo tuboane kijitu kizima sasa.
bek to ze topik: wananiboa kweli ambao hawajibu PM.