Mimi nakupendaNakuadmire.
Nakupenda kinoma!Mimi nakupenda
Thanks mchumba πΉNakupenda kinoma!
Jamani π€£π€£π€£π€£Ninao Wa admire humu
1. Elton Tonny
2. Dr Lizzy
3. Intelligent businessman
4. Captain Marvelous
5. BIN NUN
6. Joannah
7. The MoNA
8. Greatest Of All Time
9. To yeye
10. Mshana Jr
Special:
Aaliyyah , Leejay49
and Evelyn Salt ππ
Kama haumo kwenye hii list nenda kaoge maji ya bahari njia panda ya Kijitonyama/Mwenge/Makumbusho/Rose Garden. ππππ
Looh πEhhh! Watoto wameruhusiwa kucheza sebuleni.
Nzaghamba sha mighatoπ€£π€£π€£Mshaanza wenye nzagamba zenu.
Mwalimu wangu alinifundisha Wabheja na Nzaghamba tu. Hayo mengine siyajui.
Hapa nilipo najiangalia maana nahisi umeniita ng'ombe mwenye kwato.π
Ntakuja huko kwenu kuchukua mmoja!πView attachment 2940369
Hii ndio Nzaghamba Sasa πππ
Kama Wewe ni mweupee utachukua zaidi ya mmoja ? Muulize Nyani NgabuNtakuja huko kwenu kuchukua mmoja!π
Kwa Niaba ya the last generation z, we will sue you madamππ€Ehhh! Watoto wameruhusiwa kucheza sebuleni.
Mmesha rogwa na Ngozi nyeupe ππ€£Kama Wewe ni mweupee utachukua zaidi ya mmoja ? Muulize Nyani Ngabu
Aisee ngozi nyeupe Mimi hata siikubali sijui ni kwa sababu nilizaliwa Kusini ? πππMmesha rogwa na Ngozi nyeupe ππ€£
Heshima kubwa sana kwako Mkuu @Vicenzo JrHawa apa
Dr Lizzy
Pretty
ASHADii
Amyner
sweetlady
Rose1980
JS
DaMie
Mrembo
Depal
Evelyn Salt
Manyanza
Kalpana
Jadda
Nyani Ngabu
cocochanel
Maxence Melo
Husninyo
Hawa ndio ninaowakubali sana humu ndani since 2011 hapo baadae ntaongeza list nyingine ya Gen v