π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Aisee Mimi kipindi hicho nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni inayotoa huduma za Internet nilikuwa Sina shida Kabisa. Tatizo kuipata JF kwenye simu ilikuwa changamoto mpaka umpigie Maxence Melo mkutane Steers pale Kijitonyama akuunganishe π€£π€£π€£
Kabisa hiki kizazi cha gen z ni wajuaji sanaIla tumetoka mbali sana π€£π€£π€£
Imagine mtu ilikua inabidi, uoge, uvae upendeze ndo ukatafute Internet. ππ
Waache watoto wafurahie muda wao bana. 10 yrs from now, na wenyewe watakua wanaboreka na kizazi kipya.
Yani πππHilo neno mpaka ukiliandika lilikuwa Lina display ******
Gen Z ni programmed generation kinapasua sana kichwaKabisa hiki kizazi cha gen z ni wajuaji sana
π€£π€£π€£π€£Na kaptula lake la maxKipindi hicho ndugu yetu chinga yupo darasa la 2 Hajui internet ni Nini ππ
Sio Crap tu hata mheshimiwa Jakaya Kikwete kabila lake lilikuwa linatajwa sana mpaka likawa nali Lina display **** lakini Baba Mchungaji Masanilo akawa anaandika M.kwele π€£π€£π€£Yani πππ
Ila watu walimbuni binu ujumbe ufike!
Nadhani lazima kuna muda lilikua the most used word humu.
Heheheh...inawezekana ndo anaukaribia ama ameshaingia, maana nimekuja kugundua baadhi tulikua bado wadogo kiumri enzi zile. Either tulikua tunamalizia uteen au tunachezea early 20s.
Tupewe zawadi kweli...sio kwa loyalty hii.π
Who Is Chinga ? π€π€£π€£π€£π€£Na kaptula lake la max
Mbona tupo na wengine tulibadili Id kutokana na changamoto tu tupo kibao na Wala haturingiKwenye huu uzi wakongwe wengi hawapo teena
Ni Intelligent businessman katoto ka 2001Who Is Chinga ? π€
πππππNi Intelligent businessman katoto ka 2001
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Sio Crap tu hata mheshimiwa Jakaya Kikwete kabila lake lilikuwa linatajwa sana mpaka likawa nali Lina display **** lakini Baba Mchungaji Masanilo akawa anaandika M.kwele π€£π€£π€£
Kuna mkongwe mmoja alikuwa ni Director wa Finance and Administration. Gulf Oil group halafu nilikuwa namdiss sana siku anakuja Tanzania akaandika na namba zake nikajipendekeza kumpigia , Kwanza simu ilipokewa na msaidizi wake akaniambia Dr ana kikao na Waziri wa wizara Fulani njoo Serena Hotel kwenda pale nikakuta Ulinzi kama wote wacha nile Kona π€£π€£π€£π€£Kwenye huu uzi wakongwe wengi hawapo teena
Rev siku anarudi Tanzania akanikaribisha pale NSSF JB Bellmonte Hotel acha tuzikunywe halafu alikuwa ni Dr UK huko lakini vituko vyake humu unaweza ukadhani ni Kijana wa Uswahilini π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Na Rev alikua mchokozi jamani. Umkute siasani huko sasa....π
Na yeye aliamua kujitoa kama partner wangu AD.
Kama mpo inapendeza saana, wengine naamini hatunao teena.Mbona tupo na wengine tulibadili Id kutokana na changamoto tu tupo kibao na Wala haturingi
[emoji16][emoji16][emoji16] ukiskia JF home GT , ndo ilikua kipindi hicho .Kuna mkongwe mmoja alikuwa ni Director wa Finance and Administration. Gulf Oil group halafu nilikuwa namdiss sana siku anakuja Tanzania akaandika na namba zake nikajipendekeza kumpigia , Kwanza simu ilipokewa na msaidizi wake akaniambia Dr ana kikao na Waziri wa wizara Fulani njoo Serena Hotel kwenda pale nikakuta Ulinzi kama wote wacha nile Kona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utoto bhana halafu nilikuwa around 21 or 22's hivi
Mkuu ilikuwaga hatari sana humu πWatu wa kale na zama zenu
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Rev siku anarudi Tanzania akanikaribisha pale NSSF JB Bellmonte Hotel acha tuzikunywe halafu alikuwa ni Dr UK huko lakini vituko vyake humu unaweza ukadhani ni Kijana wa Uswahilini π€£π€£π€£