Nani unamu-admire hapa JF?

Ngoja waje kunisagia kunguni, maana hata nilivyopata ajali kuna jopo lilifurahishwa na tukio lile na hawakutaka nirudi tena humu ndani.

Inshort mimi napenda wanawake wote humu ndani na nje ndiyo maana na waambia ukweli haijalishi iwe Jf au live pakukuchana na kuchana tuu ewe mwanamke mjinga mpaka upate akili
 
πŸ€—πŸ˜…πŸ˜…
Kweli inaendana na wewe...😁

Hivi wewe sindio ulikua unakrashiana na Husninyo ??πŸ˜€
Uzi wenyewe huu hapa πŸ˜‚πŸ˜πŸ€£

Ndio na niliwahi kuweka hadi Uzi πŸ˜‚πŸ˜ kweli enzi hizo ulikuwa utoto hadi wewe nilishawahi kukutamaniπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Na ulikuaga popular! 😎😁

Kweli those were the days!!!☺️

Palikua pananoga sana. Ujinga kama wote! Usipoingia jukwaani unahisi homa.😁 Alafu kuna namna tulikua tunabalance vizuri ujinga/utoto na issue serious.
 
Kabisa wakati natumia jf miaka hii Hawa watoto Intelligent businessman Depal Selikavu walikuwa wana miaka 10 hawajui kutumia internet πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
Nilivyo ibiwaga simu nikaachana na jf waliniibiaga maeneo ya mwenge pale😭😭
 
Acha kuwachokoza watoto, hawajawahi hata kuingia café wakaona jinsi dakika 30 zinavyoweza kuisha haraka!😁😁😁

Vibaka walaaniwe!!! 😬😬😬
 
Acha kuwachokoza watoto, hawajawahi hata kuingia café wakaona jinsi dakika 30 zinavyoweza kuisha haraka!😁😁😁

Vibaka walaaniwe!!! 😬😬😬
Kuna jamaa pale maeneo ya tegeta kipindi hicho nilikuwa nashinda sana kwenye cafΓ© ni mwendo wa magemu na kuperuzi jf nafatilia nyuzi zako tamu zenye madini ila skuizi kumejaa watoto wa 2001 tu πŸ˜‚πŸ˜πŸ€£ hawana adabu
 
Aisee Ms. Dr Lizzy huyu Dada AshaDii hata kuingia humu haingii tena nasikia ni mmoja ya Wakurugenzi wa JamiiForums Sasa hivi namuonaga X na IG tu. MMU ya kipindi hicho ilikuwa ni ya moto.
Lamomy pitia hizi nyuzi upige msasa akili zako 🀣🀣🀣
 
Naunga mkono hoja ashadiii now humu ni staff miaka hiyo jf ilikuwa nzuri sana Hawa watoto wa Leo wana hoja za kiwaki sana
 
Naunga mkono hoja ashadiii now humu ni staff miaka hiyo jf ilikuwa nzuri sana Hawa watoto wa Leo wana hoja za kiwaki sana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mada za MMU hata hazina maudhui kama ya zamani yaani zimekuwa za kiwaki sana hata Malijendari nao hawaleti matilio namuona hata Dr Lizzy naye kachoka humu MMU mara nyingi yupo Snapika tu
 
Kuna jamaa pale maeneo ya tegeta kipindi hicho nilikuwa nashinda sana kwenye cafΓ© ni mwendo wa magemu na kuperuzi jf nafatilia nyuzi zako tamu zenye madini ila skuizi kumejaa watoto wa 2001 tu πŸ˜‚πŸ˜πŸ€£ hawana adabu
Ila tumetoka mbali sana 🀣🀣🀣
Imagine mtu ilikua inabidi, uoge, uvae upendeze ndo ukatafute Internet. πŸ˜†πŸ˜†

Waache watoto wafurahie muda wao bana. 10 yrs from now, na wenyewe watakua wanaboreka na kizazi kipya.
 
Katika watu nnaowamiss ni partner wangu AshaDii πŸ˜” She was something else!πŸ™‚

Inawezekana ana ka-id kakuchungulia mambo yanavyoendelea.πŸ˜Άβ€πŸŒ«οΈπŸ˜

😁😁 We Manyanza unataka tu kumpa Lamomy mabomu yakunipiga nayo akinikuta mahali nawasema watoto na utoto wao.πŸ˜Άβ€πŸŒ«οΈ
 
Ila tumetoka mbali sana 🀣🀣🀣
Imagine mtu ilikua inabidi, uoge, uvae upendeze ndo ukatafute Internet. πŸ˜†πŸ˜†

Waache watoto wafurahie muda wao bana. 10 yrs from now, na wenyewe watakua wanaboreka na kizazi kipya.
Aisee Mimi kipindi hicho nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni inayotoa huduma za Internet nilikuwa Sina shida Kabisa. Tatizo kuipata JF kwenye simu ilikuwa changamoto mpaka umpigie Maxence Melo mkutane Steers pale Kijitonyama akuunganishe 🀣🀣🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mada za MMU hata hazina maudhui kama ya zamani yaani zimekuwa za kiwaki sana hata Malijendari nao hawaleti matilio namuona hata Dr Lizzy naye kachoka humu MMU mara nyingi yupo Snapika tu
Kukimbizana na watoto kazi ujue.
πŸ™ˆπŸ€£

Zamani kulikua na balance nzuri. Alafu watu walikua wanaogopa kupigwa zile ngumi za CRAP thread zima tokea mwanzo mpaka mwisho wakizingua sana.
 
Zama zao hizi acha wavimbe. JamiiForums wafikirie hata namna ya kutuvesha badge sisi Malijendi wenye zaidi ya miaka 10 humu. Kuna Dada mmoja alikuwa anaitwa Mwali sijui kashakuwa Lishangazi naye? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…