Nani unahisi muuaji

Wewe fumba macho andika majina ya watuhumiwa kwny karatasi kishaweka mezani.
Fumba macho Zunguuusha kidole kisha shusha kidole,ukishusha kitakapotua, huyo ndo mmuaji.
Usituchoshe.
 
yani huyu mwandishi sidhani kama la saba alihitimu!
 
wataalamu wa insha na walimu wa kiswahili emu mpeni kijana zoezi la imla, alafu arudi tumwambie muuaji ni nani
 
Mkuu tulia uandike kiswahili vizuri
 
Bado na huzuni ya msiba huyu
Baada ya muda njoo uje na taarifa zaidi
 
Nilitaka nichangie huu uzi ila sijaelewa kabisa. Hasa kwenye simu na kupeana taarifa.

Lakini nahisi pale alipokuwa ana andika "kumi na name" ni "kumi na nane".
....Na mimi ninahisi kuwa pale alipoandika kuwa ...'jamaa Hana siku tatu hajarudi' alikuwa anataka kuandika ...' Jamaa Ana Siku tatu hayarudi'...
 
Dah...hata sielewi kilichoandikwa hapa!! Au una chat huko whatsap ukajikuta umepost Jamiiforums!?
Hapa tatizo la matumizi ya A na Ha, sasa cjui huyu ni mkimbizi au vp maana tz hatunaga hawa watu kama co mkimbizi basi wale wazee wa ile pesa tuma kweny namba hii
 
Duh!! Nimeishia katikati, sijaelewa hata moja...emu weye mmasai tullia na uandike kwa musuli
 
Ndio maana sisi wazazi tunafanya jitihada angalau watoto watu wajue kusoma na kuandika mambo mengine secondary outcome tu. Sasa hapa duuuuuuu
 
Pole man . Nkushauri labda; nadhani kwasababu mmeshamzika marehem mngeachana na kesi maana hakuna ushahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…