Yaani wewe ni mbumbumbu kabisa hiyo rasimu ya Warioba imekusaidia nini?Habari wanajamvi .
Naleta mada tajwa hapo juu tujadili pamoja kwa hoja.
Nikianza na Raisi wa awamu ya kwanza huyu alikuwa muhimu sana kwa kuwa tanzania ndo ilikuwa inajenga msingi.
Ukiangalia kiufundi msingi wa Tanzania ulijengwa kwa tope na kupakwa rangi.
Nasema hivo kwa sababu baada ya Uhuru bado mwalimu hakujibidiisha na kuwawezesha wananchii kujitawala kama ilivyokuwa lengo la kupigania Uhuru.
Na hata ukiangalia ishu ya muungano bado unaona wananchi hawajashirikishwa kikamilifu ndo maana mpaka sasa bado kuna utata mkubwa wa huu muungano. Kwa ufupi utawala wa awamu ya kwanza haukujenga misingi imara ya kidemokrasia na kuwapa mamlaka wananchi. Kwa hiyo unakosa vigezo vya kupata point.
Awamu ya pili napo hakuna jipya lilifanyika badala yake kila kitu kilibaki vilevile. Kwa hiyo nao wanakosa alama au points.
Awamu ya 3 walivunja misingi ya kidemokrasia kwa kuvuruga Chaguzi na tume nzima ya uchaguzi. Hapa tume nzima ya uchaguzi ikajaa makada wa chama kimoja. Wananchi hawakuwa na sauti kabisaa kwenye nchi Yao kwa hiyo awamu ya 3 nao wanakosa point.
Awamu ya 5 nao walivunja rekodi ya kutoheshimu wananchii na kuwachagulia viongozi waziwazi na mihimili mingine ya dola ikamezwa kabisa.
Awamu ya 6 bado tunawaangalia kwa jicho la mwewe ili tuone kama watabadilisha mwelekeo kwa Sababu mpaka sasa bado hawajafanya jipya tofauti na watangulizi wao tajwa hapo juu.
Mshindi wetu kwa alama 75%%ni jakaya mrisho kikwete kwa kuthubutu kutuletea rasimu ya jaji warioba. Watanzania wengi wamekuwa hawampongezi kikwete bali anapongezwa warioba.
Naomba vijana mpiganie rasimu ya Warioba iingie mezani ipitishwe kwa kura za ndio 💯 Kikwete ameshatupa hii zawadi sasa kazi yetu kuikamilisha.
Ahsanten sana.
Mimi naamini awamu ya 3 maana niliona mabadiliko makubwa ktk serikali maana ilitengeneza vyanzo vya mapato serikalini e.g Ewura, TRA, TAKUKRU na kadhalika pia uhuru wa vyombo vya habari ndipo ulipo anza kukuwa so barabara zikaanza kujengwa JK na Magu ndio wakaja kuendeleza kujenga barabara lakini hawamu ya 3 ndio imejenga uwanja wa mkapa stadium istoshe bunge leo ni sura ya taifa aisee big up awamu ya 3 ilikuwa na maono mpaka sasa wanaishi nayoHabari wanajamvi .
Naleta mada tajwa hapo juu tujadili pamoja kwa hoja.
Nikianza na Raisi wa awamu ya kwanza huyu alikuwa muhimu sana kwa kuwa tanzania ndo ilikuwa inajenga msingi.
Ukiangalia kiufundi msingi wa Tanzania ulijengwa kwa tope na kupakwa rangi.
Nasema hivo kwa sababu baada ya Uhuru bado mwalimu hakujibidiisha na kuwawezesha wananchii kujitawala kama ilivyokuwa lengo la kupigania Uhuru.
Na hata ukiangalia ishu ya muungano bado unaona wananchi hawajashirikishwa kikamilifu ndo maana mpaka sasa bado kuna utata mkubwa wa huu muungano. Kwa ufupi utawala wa awamu ya kwanza haukujenga misingi imara ya kidemokrasia na kuwapa mamlaka wananchi. Kwa hiyo unakosa vigezo vya kupata point.
Awamu ya pili napo hakuna jipya lilifanyika badala yake kila kitu kilibaki vilevile. Kwa hiyo nao wanakosa alama au points.
Awamu ya 3 walivunja misingi ya kidemokrasia kwa kuvuruga Chaguzi na tume nzima ya uchaguzi. Hapa tume nzima ya uchaguzi ikajaa makada wa chama kimoja. Wananchi hawakuwa na sauti kabisaa kwenye nchi Yao kwa hiyo awamu ya 3 nao wanakosa point.
Awamu ya 5 nao walivunja rekodi ya kutoheshimu wananchii na kuwachagulia viongozi waziwazi na mihimili mingine ya dola ikamezwa kabisa.
Awamu ya 6 bado tunawaangalia kwa jicho la mwewe ili tuone kama watabadilisha mwelekeo kwa Sababu mpaka sasa bado hawajafanya jipya tofauti na watangulizi wao tajwa hapo juu.
Mshindi wetu kwa alama 75%%ni jakaya mrisho kikwete kwa kuthubutu kutuletea rasimu ya jaji warioba. Watanzania wengi wamekuwa hawampongezi kikwete bali anapongezwa warioba.
Naomba vijana mpiganie rasimu ya Warioba iingie mezani ipitishwe kwa kura za ndio 💯 Kikwete ameshatupa hii zawadi sasa kazi yetu kuikamilisha.
Ahsanten sana.
Baadhi ya sifa umeamishia kwa jk wakati ni upande wa mkapa maana mkopo mkapa ndio alianzisha jk akaja kutanua na kufanya kutengeneza nathami kitengo cha mikopo na kuruhusu viongozi wa chuo kuhusika nadhani aliboresha tuHonestly hakuna wa kumzidi KIKWETE.
1. Maslahi kwa watumishi
2. Miondombinu
3. Uhuru
4. Mikopo kwa wanafunzi
5. Biashara
6. Elimu nk
2. MKAPA
1. Miundombinu
2. Mifumo (TRA, NHIF, NSSF, PPF nk)
3. Biashara
Akuna kisicho na kasoroHabari wanajamvi .
Naleta mada tajwa hapo juu tujadili pamoja kwa hoja.
Nikianza na Raisi wa awamu ya kwanza huyu alikuwa muhimu sana kwa kuwa tanzania ndo ilikuwa inajenga msingi.
Ukiangalia kiufundi msingi wa Tanzania ulijengwa kwa tope na kupakwa rangi.
Nasema hivo kwa sababu baada ya Uhuru bado mwalimu hakujibidiisha na kuwawezesha wananchii kujitawala kama ilivyokuwa lengo la kupigania Uhuru.
Na hata ukiangalia ishu ya muungano bado unaona wananchi hawajashirikishwa kikamilifu ndo maana mpaka sasa bado kuna utata mkubwa wa huu muungano. Kwa ufupi utawala wa awamu ya kwanza haukujenga misingi imara ya kidemokrasia na kuwapa mamlaka wananchi. Kwa hiyo unakosa vigezo vya kupata point.
Awamu ya pili napo hakuna jipya lilifanyika badala yake kila kitu kilibaki vilevile. Kwa hiyo nao wanakosa alama au points.
Awamu ya 3 walivunja misingi ya kidemokrasia kwa kuvuruga Chaguzi na tume nzima ya uchaguzi. Hapa tume nzima ya uchaguzi ikajaa makada wa chama kimoja. Wananchi hawakuwa na sauti kabisaa kwenye nchi Yao kwa hiyo awamu ya 3 nao wanakosa point.
Awamu ya 5 nao walivunja rekodi ya kutoheshimu wananchii na kuwachagulia viongozi waziwazi na mihimili mingine ya dola ikamezwa kabisa.
Awamu ya 6 bado tunawaangalia kwa jicho la mwewe ili tuone kama watabadilisha mwelekeo kwa Sababu mpaka sasa bado hawajafanya jipya tofauti na watangulizi wao tajwa hapo juu.
Mshindi wetu kwa alama 75%%ni jakaya mrisho kikwete kwa kuthubutu kutuletea rasimu ya jaji warioba. Watanzania wengi wamekuwa hawampongezi kikwete bali anapongezwa warioba.
Naomba vijana mpiganie rasimu ya Warioba iingie mezani ipitishwe kwa kura za ndio 💯 Kikwete ameshatupa hii zawadi sasa kazi yetu kuikamilisha.
Ahsanten sana.
Good,jamaa alikuwa na maono na ni awamu iliyoiweka Tanzania katika ramani ya dunia.Mimi naamini awamu ya 3 maana niliona mabadiliko makubwa ktk serikali maana ilitengeneza vyanzo vya mapato serikalini e.g Ewura, TRA, TAKUKRU na kadhalika pia uhuru wa vyombo vya habari ndipo ulipo anza kukuwa so barabara zikaanza kujengwa JK na Magu ndio wakaja kuendeleza kujenga barabara lakini hawamu ya 3 ndio imejenga uwanja wa mkapa stadium istoshe bunge leo ni sura ya taifa aisee big up awamu ya 3 ilikuwa na maono mpaka sasa wanaishi nayo
Unajua mkapa ndio Rais bora ktk maendeleo Tz bila mkapa sidhani technology ingekuwa tz bila mkapa kusingekuwa na mapato serikalini zaidi watu walikuwa wanakimbia kodi ya kichwa so hivi unakatwa na wameongeza kodi ya miamara ya simu so bila mkapa barabara sizingejengwa yeye katengeza Tanroad N.b aliferi vitu 3. Vurugu Zanzibar na kununua rada na kuachia watu wapige pesa za serikali kimnya pasipo yeye kujua sasa alipo ingia jk basi aisee walizoa mpaka basi N.b Magufuli yeye alikuja kusimamia yale mkapa aliacha na kuboresha pia naile ndoto ya mwl Julias aliomuachia mkapa na akashindwa aliendeleza Dodoma kuwa makao makuu ya nchi ndio maana mkapa alijenga bunge Dodoma ili kuendeleza maono ya baba wa taifa alishindwa mkapa Magufuli yeye alikuwa ataki hoja mpango + twende alianzisha Dodoma na kujenga SGR iliwafanya kazi waishi Dar Es Salaam huku wanafanya kazi Dodoma big up chuma sema aliferi kujenga bwawa la mwl nyerere , gesi tunayo na tunauwezo wa kuzalisha umeme tena mkubwa maana USA wanakwambia gesi ya tz iinaweza kutumika kwao karine 800 aisee lakini tunatengeneza umeme wa maji wakati tunajua tu hapo Mtera kunawakati inazingu maana mara maji madogo mara maji mengiGood,jamaa alikuwa na maono na ni awamu iliyoiweka Tanzania katika ramani ya dunia.
Mkapa Mungu amzidishie kule aliko.Unajua mkapa ndio Rais bora ktk maendeleo Tz bila mkapa sidhani technology ingekuwa tz bila mkapa kusingekuwa na mapato serikalini zaidi watu walikuwa wanakimbia kodi ya kichwa so hivi unakatwa na wameongeza kodi ya miamara ya simu so bila mkapa barabara sizingejengwa yeye katengeza Tanroad N.b aliferi vitu 3. Vurugu Zanzibar na kununua rada na kuachia watu wapige pesa za serikali kimnya pasipo yeye kujua sasa alipo ingia jk basi aisee walizoa mpaka basi N.b Magufuli yeye alikuja kusimamia yale mkapa aliacha na kuboresha pia naile ndoto ya mwl Julias aliomuachia mkapa na akashindwa aliendeleza Dodoma kuwa makao makuu ya nchi ndio maana mkapa alijenga bunge Dodoma ili kuendeleza maono ya baba wa taifa alishindwa mkapa Magufuli yeye alikuwa ataki hoja mpango + twende alianzisha Dodoma na kujenga SGR iliwafanya kazi waishi Dar Es Salaam huku wanafanya kazi Dodoma big up chuma sema aliferi kujenga bwawa la mwl nyerere , gesi tunayo na tunauwezo wa kuzalisha umeme tena mkubwa maana USA wanakwambia gesi ya tz iinaweza kutumika kwao karine 800 aisee lakini tunatengeneza umeme wa maji wakati tunajua tu hapo Mtera kunawakati inazingu maana mara maji madogo mara maji mengi
Amina pumzikaMkapa Mungu amzidishie kule aliko.