Nani rafiki yako?

Just one person i call him the MOST HIGH above norms yeye ambaye hata kama natengwa na kunyanyashwa huwa karibu yangu na kunipa amani ya rohoni "ABOVE ALL POWERS THE CREATOR as the ALFA&OMEGA.
 
Mwanadamu ni mwanadamu atakuwa nawe au kuonesha kuwa nawe pale tu wewe ukiwa na faida kwake
 
Ni Mungu tu ndiye Rafiki wa kweli, Yesu hasa kwa kuutoa uhai wake kwa ajili yako, ndiye aliye rafiki wa ukweli, ila tu anataka ukae katika yale aliyokuamuru kuyatenda, na sio kinyume chake. Yohana 15:13-14
 
Kuna mtu alisema linapokuja suala la rafiki nimeamua kujichagua mimi mwenyewe niwe rafiki yangu!cha ajabu anasema akaja kugundua kuwa hata yeye hayupo karibu na yeye mwenyewe.the guy say that even himself his not so closest to himself nilishindwa kumuelewa.
 
Hivi leo, ni nani ambaye anaweza kuwa rafiki yako wa kweli, na ukasema mble ya watu kuwa huyu ni rafiki yangu kipenzi. mfano, hata mkeo leo anasaliti, mama mzazi na hata baba wote wasaliti. niende wapi?

Ukitaka rafiki,basi MUNGU MMOJA PEKEE anatosha kuwa rafikiyo wa kweli.

Ukitaka mawaidha/mafundisho,basi MAUTI yanatosha kukuonya na kukuasa.ukifikiri kuhusu kifo,na ukawaza kuwa baada ya kufa utakutana na mungu,utajiepusha na dhambi.

Ukitaka mzungumzaji/msema kweli,basi VITABU VYA KWELI vya mungu vinatosha kuwa wazungumzaji wako,wazungumzao kweli.

Ukitaka utajiri,jifunze KUKINAI.
 
hakuna rafiki kama yesu, yeye ni pekee anayeweza kukufariji na kukuongoza katika maisha yako. ambatana naye utafarijika.
 

Tutangaze pambano la Maywether part2?..
 
rafiki yangu kwa upande wangu ni yule anayenipenda na kuweza kunisaidia kwenye mambo mbalimbali haijalishi ni nani basi huyo atakuwa ni rafiki yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…