Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,619
Huyo wa pili sjui?! Tz na Addis unazifikiriaje?Kati ya hizi. Nne au zaidi mhimu kuwemo..
Misiri
Kenya.
South Africa.
Nigeria
Morocco.
SA, Ghana, Nigeria,Kenya, EgyptKama AU itaamua kuja na utaratibu kama ule wa UN wa kuanzisha vingunge wa kura ya Veto, unadhani ni nchi zipi tano wanachama wa AU wanastahili/watapata mamlaka hayo ya Veto? Na vigezo vyako ni vipi kukisia nchi hizo?
View attachment 2191838
View attachment 2191840
Taswira zote kwa hisani ya google.
Nafikiri nchi zilizo na utulivu zaidi Africa:-Tanzania
Ethiopia
Ghana
Nigeria
Guinea ya Seku Toure
Wewe ni wa nyumbani kabisaKarukekere, Kenkombyo ,Bulamba na Nyamitweebili.
Hoja zingine hazina mbele wala nyuma
Mmmh! itakuwa vita mbaya sana ndani ya hizi Regional Integrations.kila kanda itoe taifa na wapigiwe kura na mataifa yote kuchagua... watakao pata kura nyingi toka kila kanda waunde hiyo veto...
1. SADC
2. EAC
3. North zone
4. ECOWAS
5. CENTRAL ZONE
Guinea ya Sekou Toure iliondoka naye kitambo, imebaki ya Kleptocrats na Oligarchs.Tanzania
Ethiopia
Ghana
Nigeria
Guinea ya Seku Toure