Nani ni mfugwa kati ya hawa?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,625
Reaction score
15,126
Mmoja ni mfugwa wa rohoni na mwingine mfugwa wa kibinadamu. Ingawa kibinadamu Lissu ni mfugwa lakini roho yake ipo huru.

Wakati mwenzake kufanya kazi ya kulazimishwa moyoni hayuko huru

Mungu anaenda kutenda jambo kubwa tena kwa Taifa kupitia Lissu. Aliyeagiza kupigwa Risasi alikufa kwa mateso makubwa. Anayeagiza kumfunga atapata mateso makubwa mno kabla ya umauti wake.
 
Mungu anaenda kutenda jambo kubwa tena kwa Taifa kupitia Lissu. Aliyeagiza kupigwa Risasi alikufa kwa mateso makubwa. Anayeagiza kumfunga atapata mateso makubwa mno kabla ya umauti wake.
Nashindwa kabisa kuelewa siasa za kidini. Kwanini Mungu aliruhusu samia aingie madarakani?
 
Hapo Kuna mfungwa anayemaliza muda wake na mfungwa tarajali.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…