Nani ni 'Mentor' wako maishani? Mtaje tujifunze

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,450
Reaction score
10,808
Habari mwana jamii?

Katika maisha ni hekima na jambo la msingi kuwa na Mentor. Huyu ni mtu anayeku-inspire katka harakati za maisha na unatamani kuwa kama Yeye Katika nyanja fulani au in general life.

Binafsi Mentor wangu ni 'Prof Dr Ben Carson' huyu kwa sasa ni waziri wa Nyumba na maendeleo ya makazi Marekani. Ni mtaalamu mkubwa wa afya kama Neurosurgeon. Amefanya makubwa sana katika kada ya sayansi.

Nilivutiwa na maisha yake ya kutoka katika dimbwi la umasikini na familia iliyobaguliwa sana mpk kuwa mtu mwenye heshima kuu Marekani. Fikiria, surgery zake nyingi zilikuwa zikipingwa mf wazungu walikuwa wakidharau kupasuliwa na muafrica but pale palipokuwa hapana jinsi alipewa Carson na he did wonders beyond expectation na akaja kuwa mtu wa kugombewa na wazungu hao hao pale Johnhopskin Hospital.

Huyu bwana mama ake ni muhanga wa 'u single mother' alimuacha mumewe baada ya kugundua kuwa ana familia nyingine, pia kuna kipindi mumewe alimtoa mkewe ili afanyiwe ngono na mchungaji wao, hili alilipinga kwa nguvu na kuamua kuacha kusali kabisa japo baadae alirudi kuwa mwana kanisa jingine.
Pamoja na kuwa single mom, alifanya bidii sana kuwalea wanae kwa hekima na kujinyima. Aliwafunza maadili na maarifa na kuwaaminisha kuwa ni watoto wenye akili na can beat the odds. Hii ilipelekea Ben na kaka yake kuwa na perfomence za 90%s darasani na kuwa distinguished students. HAPA NIWATIE MOYO WAKINA MAMA, KWANZA HEKO KWENU, U ARE WHO WE ARE! Pia msikate tamaa, no matter what u are our moms. Uachwe, uchapwe au utelekezwe still mama zetu mnabaki kuwa juu. I love you wamama jamani!

Carson ni mentor wangu ktk elimu, maisha, na unyeyekevu. Ana vipaji vingi, ni mhubiri, ni mwandishi mzuri, ni mshauri, ni mwana siasa mstaarabu, ni mume bora, ni mtoto mzuri, ni baba wa mfano zaidi ya yote anayaishi anayoamini. Lakini pia ni mpiga kinanda mzuri! Tumuite tu multi-talented!

Ukipitia vitabu vyake viwili tu (japo vipo kadhaa) The Gifted Hand na Think Big ni lazima utafunguka mahali kimaisha.

Wale wa kada ya Afya au wanaopata ugumu wa masomo nashauri wasome vitabu hivi.
Asante

Tuwekee nawe Mentor wako tujifunze!

Karibuni.
images%20(7).jpg
images%20(8).jpg
 
Karibuni.View attachment 1104742View attachment 1104743
Hivi hakuna tofauti kati ya mentor na Role model? Nahisi unamaanisha hilo la pili mkuu
 
Aisee, kaka yangu nikikaa nae siwezi kukosa hela ya kula hata siku moja ni mtu anaejua njia nyingi sana za kupiga hela mjini na vijijini.....

Sijutii kabisa kuwa nae.... Bega kwa bega, unaweza kuamka na milion 60 kesho ukamkuta hana hata shilingi mia na anakuomba hadi hela ya vocha.
 
Back
Top Bottom