Michael Scofield
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 1,225
- 473
Hii ni chit-chat kama wewe dogo sepa, kaimbe mwanasesere.Kuna thread yake kule jukwaa la burudani...
Thanx Smile!thax
nimekuelewa
We acha tu ukibadili kituo ni Idhaa ya biashara au BBC.He he he, yaani hapa naimba ki-loud speaker
Enzi hizo RTD tu, kwa raha zetu.
nilidhani umeniandikia mimiThanx Smile!
Ujumbe uliopo hapo ni mzito kwa wapendanao.
We acha tu ukibadili kituo ni Idhaa ya biashara au BBC.
iyo ni from kongosho to smileHe he he, yaani hapa naimba ki-loud speaker
Enzi hizo RTD tu, kwa raha zetu.
mimi nakumbuka kile kipindi cha asubuhi majira hapo ndo nashtuka nishachelewa kushika number shuleni lohBaada ya mziki, kipindi cha jangala.
Afu kuna moja ulikuwa unaimbwa.
Jua la asubuhi lapendeza, kila kiumbe kinapenda asubuhi eee.
Hii ni chit-chat kama wewe dogo sepa, kaimbe mwanasesere.
Baada ya mziki, kipindi cha jangala.
Afu kuna moja ulikuwa unaimbwa.
Jua la asubuhi lapendeza, kila kiumbe kinapenda asubuhi eee.
Vipi na kile kipindi cha mama na mwana?mimi nakumbuka kile kipindi cha asubuhi majira hapo ndo nashtuka nishachelewa kushika number shuleni loh
hivi lile igizo la kina jangala na kimziki chake kile
chubuku ya tanzania ndio ya kujivuniaaaa ilianza kutengenezwa mwaka 27...... chubuku oyeee hongera hongeraaaa chubuku oyeee ,hongeeeeraaaaaaaa
ilikuwa ni jumapili saa tatu usiku
hapo nalazimishwa kulala maana asubuhi kuamshwa nilikuwa mbishi kelele mtaa mzima sasa kina sis walikuwa wanaipenda kweli
na wewenaona una hamu.
unawaogopa?Si nawazuga watu wasielewee.....!
Dogo kalale wewe!naona una hamu.
Dogo kalale wewe!
Si unaona wenzio wanavyokumbuka wewe wa 99, unakumbuka nini?
na wewe