Vawulence
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 1,931
- 2,114
Kwa muda mrefu kila mmoja kati ya hawa mabwana wawili amekuwa akijitahidi kadri awezavyo kuwaaminisha Watanzania kuwa yeye ni mzalendo na anaipenda Tanzani kuliko mtu mwingine yeyote. Kwa upande wa Makonda tumeona masuala kama kuondoa ombaomba jijini, kupiga marufuku shisha, kutangaza kukamata mashoga (hakuna lililofanikiwa hata moja) na sasa kukamata wanahojihusisha na madawa ya kulevya (inawezekana nalo likapotea baada ya wiki chache tu)...
Kwa upande wa Mwigulu tuliona mambo kadhaa ikiwemo kushughulikia migogoro ya ya wakulima na wafugaji pamoja na kuvaa kama guerilla fighters na kuvaa scarf za bendera ya Taifa....
Tukiacha ushabiki nani anaweza kuwa mzalendo zaidi kati ya hawa wawili?
Tafadhali soma uelewe ndio ujibu.............