Nani mwenye taarifa juu ya hii taasisi inayotoa mkopo bila riba lakini wanataka wapewe hela kwanza

Tareman

Member
Jun 3, 2019
53
33
Habari zenu, leo nimekutana na hii kitu katika moja ya group la whatsapp ni "NIKOPESHE" ni taasisi inayojielezea kuwa inatoa mikopo kwa kutimiza kigezo cha kuwa na kitambulisho cha NIDA.

Nimejiunga ili nipate huo mkopo ila mwishowe wanataka niwatumie pesa ili wanipe fomu yakujaza saini yangu.

Nimeleta kwenu wakuu mnipe mrejesho kulingana na mnavyoifahamu kama ni taasisi kweli inayojihusisha na mikopo au ni ujanja ujanja wa mjini.

Asante kwa ushirikiano wenu katika hili.
 
Kwenye issue yoyote ya kupata fedha usiyoitolea jasho, kitendo cha kiambiwa anza kutoa ela kabla ya deal ni utapel kwa 90%.....
Exactly mkuu. Nimeshikwa na ukakasi baada ya kufikia stage ya kutuma tena kwenye namba ya mtu binafsi.
 
Habari zenu, leo nimekutana na hii kitu katika moja ya group la whatsapp ni "NIKOPESHE" ni taasisi inayojielezea kuwa inatoa mikopo kwa kutimiza kigezo cha kuwa na kitambulisho cha NIDA.

Nimejiunga ili nipate huo mkopo ila mwishowe wanataka niwatumie pesa ili wanipe fomu yakujaza saini yangu.

Nimeleta kwenu wakuu mnipe mrejesho kulingana na mnavyoifahamu kama ni taasisi kweli inayojihusisha na mikopo au ni ujanja ujanja wa mjini.

Asante kwa ushirikiano wenu katika hili.
Waambie wakate hukohuko kwenye mkopo watakaokupatia.kama mganga wa kienyeji anataka hela ili akupe dawa ya utajiri ya kupata pesa. Unanmwambia utakata kwa hizohizo nitakazokuwa nimepata mbona simpo
 
Waambie waje kwangu nitawapa pesa za bure wawaache watz wengi hali zao ni mbaya zaidi ya jana.
Mm nitawapakua vizuri tu hao wangese wanaopenda pesa za bure.
 
Habari zenu, leo nimekutana na hii kitu katika moja ya group la whatsapp ni "NIKOPESHE" ni taasisi inayojielezea kuwa inatoa mikopo kwa kutimiza kigezo cha kuwa na kitambulisho cha NIDA.

Nimejiunga ili nipate huo mkopo ila mwishowe wanataka niwatumie pesa ili wanipe fomu yakujaza saini yangu.

Nimeleta kwenu wakuu mnipe mrejesho kulingana na mnavyoifahamu kama ni taasisi kweli inayojihusisha na mikopo au ni ujanja ujanja wa mjini.

Asante kwa ushirikiano wenu katika hili.
MATAPELI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom