nani mwenye ndugu wengi kuliko konda???

nani mwenye ndugu wengi kuliko konda???

bribrii

Senior Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
110
Reaction score
22
konda wa daladala jaman wana ndugu kbao,teeeenaaa kila mtu katika daladala ni ndugu yake.utasikia hapo dada,Pale kaka,sogea nyuma mamdogo,haya hapo mpshe mama,msaada wa siti kwa bibi yetu hapo.haya bamkubwa nikate ya wangapi,hapo mjomba shika bomba upande wa kulia,shangaz geuka kushoto.haya mdogo wangu pisha wakubwa.hapo shemej,dereva mwache mamdogo mbele hapo..
yaan kakosa pacha tu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom