Nani mwenye akili nyingi?

Nani mwenye akili nyingi?

Jamsuldash

Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
69
Reaction score
24
Baada ya kubishana kwa muda mrefu, mbongo na mzungu wakafikia hapa

Mzungu: nakuuliza swali ukikosa unanipa sh 500 na wewe utauliza nikikosa nakupa sh 10,000.
Mbongo: poa anza mambo.
Mzungu: ni mnyama gani anaweza kaa muda mrefu bila kula chakula na anaweza fikisha muda gani katika hali hiyo?
Mbongo: sijui (huku akitoa jero kumpa mzungu).
Mzungu: haya kilaza ni zamu yako kuuliza.
Mbongo: ni mnyama gani akiwa angani ana miguu minne na akitua chini ana miguu mitatu?
Mzungu: mmmh hilo sifahamu (huku akitoa sh 10,000).
Mzungu: haya ni mnyama gani huyo?
Mbongo: mi mwenyewe sijui na nimechoka sasa hivi sitaki tena maswali yako ya k.i.p.u.m.b.a.v.u (huku akitoa jero kumpa mzungu). . .
 
Mzungu gani anaongea kibongo!!! Au alikuwa Mhaya.:A S wink:
 
Mzungu gani anaongea kibongo!!! Au alikuwa Mhaya.:A S wink:

kumbe wahaya ndio wanaongea kibongo. . .haya nitumie namba yako nikutumie jero yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom