Nani mwanasiasa bora wa mwaka 2013?

MissM4C

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2012
Posts
1,741
Reaction score
1,006
Piga Kura hapa kwa kuandika jina la mwanasiasa unaehisi kafanya vizuri mwaka wa 2013, Tutaweka Matokeo katika %, Andika Jina Tu Wacha Porojo na Blah blah!
 
Yale mwachalii yaliyotimuliwa uwaziri jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…