Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Wamechapwa cha pili. Sijui leo watajificha wapi?
 
Weeeeeraaaaa tunatafuna hadi nywele leooo....chezzeiyyah mnyamaaa....
 
sisi Yanga tunajua kunywa bia tu. Mpira hatuna uwezo nao na Simba wametuzidi kwa kila Idara
 
natangaza Rasmi kuhama timu ya Yanga na kujiunga na Simba. Simba wera weraaaaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…