Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

kuna kocha alifukuzwa kwenye mechi ya mtani jembe sijui na huyu yatamkuta!
 
Hii Online TV kuna delay kubwa sana au ni kwangu?
 
Dk 46 Simba wanamtoa Murishi wanamwingiza Joseph Owino
Yanga wanamtoa Coutinho wanamwingiza Danny Mrwanda
 
Dada zetu yanga wanajitutumua lakini wapiii. Machozi ya steve leo hayapimiki.
 
Hahahaha hapa alipo miwani imekua mizitooo.Hajitambui kabisaa.Yupo yeboyebo yani hapa ni kama vile nina mgonjwa tena yupo ICU full kumbwela mbwela

pole sana utakosa chakula cha usiku mwezi mzima.
 
Yanga na sizitaki mbichi hizi,,,,,,,eti mechi ya bonanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…