Nani msemaji wa jeshi la police TZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani msemaji wa jeshi la police TZ

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by POMPO, Jun 7, 2011.

 1. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  katika semina elekezi ya majuzijuzi Dodoma Rais kikwetee moja ya mambo mengine alisisitiza kila idara na wizara ziwape nafasi wasemaji wao. back to my point. nani ni mzungumzaji wa jeshi la polisi?
  kwa sababu huyu kamishina Chagonja ni kasishina wa mafunzo, cha ajabu ndio kawa msemaji wa jeshi la polisi ampapo hana (Ethic )maadili ya kuzungumza na vyombo vya habari mfano tumemuona alipokuwa anazungumzia ile issue ya mauwaji arusha, mauwaji Tarime na hata isue ya kukamatwa mbowe amekuwa akizungumza kwa JAZBA SANA, na kuonyesha Person interest kama vile yeye ni CCM na anachoongea hakiko balanced kwende Demokrasia... Kova nae kawa CCM
  Naamini jeshi la polisi kuna mtu anakula mshahara wa kuwa ni msemaji wa jeshi hilo... Hivi Rais amekuwa anaendelea kuzalilishwa mpaka lini? anaagiza hivi wao wanafanya vile

  my take:
  kauli zinazotolewa na Chagoja na vitisho vya Kova. vitachochea mvutano kati ya Raia na Polisi
  kwani wamekuwa wakiongelea personal issues kujisafisha
   
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Polisi ya Tanzania ni kama kitengo cha Idara kuu ya propaganda ya CCM, wakati wanadhani wanaifurahisha CCM, kiuhalisia wanaiharibia CCm na serikali kwa ujumla, si tu mbele ya umma bali pia hata kimataifa na hata wafadhili. tatizo ni kama hakuna wa kuwakoromea.

  natamani in my life time kuona CCM imegeuka kuwa chama cha upinzani nione Polisi ya TZ itabehave vipi.
   
 3. M'bongo

  M'bongo Senior Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Kina Chagonja waliajiriwa enzi zile walipokuwa wanatafutwa watu warefu na wenye miguvu kuwa askari.
  Usishangae sana
   
 4. babayah67

  babayah67 JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 28, 2008
  Messages: 493
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ni kweli unayoyasema. Na hapo mimi ndio hushikwa na kigugumizi ninapofikiria kelele wanazopiga kila kukicha juu ya umuhimu Wa kuanzisha Polisi jamiii. Je Ni jamii gani ambayo kweli itakuwa tayari kushirikiana na Polisi ambao Wanawadhalilisha viongozi ambao wanawapenzi wengi katika jamii??. Fikiria mauaji ya Arusha na Tarime na maelezo yaliyotolewa na Polisi kweli kuna mahusiano mema hapo kati ay Raia na Polise???
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  kwa kweli hakuna wala huhitaji kumung'unya hata maneno, polisi tuliyo nayo imepoteza direction na imegawanyika hata ndani yake, inapaswa kujengwa upya. Ina mijitu mivivu ya kufikiri ambayo imejijengea himaya isiyotaka mabadiliko. Jeshi la polisi la Tanzania ni kama chama kingine cha siasa kilichokabidhiwa silaha na mamlaka ya kupiga na kuua. Mabadiliko makubwa ndani ya jeshi la polisi yanahitajika haraka, Said mwema alipoteuliwa kuwa IGP tulidhani atalibadilisha, lakini jamaa ni kama mwoga anaogopa hata vi-sajenti, na vi-koplo vya mawilayani na mikoani.
   
 6. n

  nyamagaro JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Mliishaambiwa Jeshi la polisi ndilo linaongoza kwa rushwa akiwemo igp, chagonja na usisahau baba wa ufisadi ni CCM. Like the chama like the employees+
   
 7. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Mambo yanavyoendelea hapa nchini ni kuwa ccm wazee wa magamba wamebaki na jeshi la polisi,Chadema inebaki na nguvu ya umma(Wananchi)sbb matumaini yao yalishapotea siku nyingi
   
 8. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  hata upinzani ukishika hatamu ya nchi hii, polisi itawalinda na kuwasikiliza...ngoja tu madaraka yahame
   
 9. bullet

  bullet JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Kuna dada mmoja pale Police makao makuu, nafikiri anaitwa Advela Senso ndie msemaji (au Kaimu) wa jeshi la polisi. Alionekana sana wakati wa maafa ya Gongo la Mboto. Sasa sijui amepotelea wapi.
   
 10. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  its true msemaji wa pale ni Senso nimeulizia, lakini ni kwa nin i hapewi chance? kwa vyovyote vile jeshi linapaswa kuwa na msemaji mmoja mwenye hiyo taalumaa unless otherwisae ugonvi kati ya polisi na raia
   
Loading...