Sasa kaka, yani kutendwa na wanawake hao ndo iwe na sisi wote tuko hivyo jamani? Pole, lakini mimi pia nimetendwa na mwanaume mmoja, na huwa namuona kama Mbwa kwa matendo yake. Je wanaume wote ni mbwa ka huyu ninaemuona ka mbwa? Samehe tulia utakutana tu na anayekupenda.