Nani mrembo zaidi katika hawa ?

tatizo bwana warembo wetu yani wengi ni vilaza kweli yani..! wanakua wanashindwa na mambo madogo madogo sana hata tukiwa tunaenda kwenye mashindano ya dunia yani hua inakuaga ni aibu kinyama yani
 
mm uzuri wa mwanamke kwangu huwa huonekani hadharani....! uzuri wa binti umezungukwa na nywele banaa!!!
 
Waambie wavue hivyo vitopu tuangalie nani ni mwanamwali, hapo ndipo tunaweza kutoa majibu mazuri

 
niitie mmoja mmoja nikae nae faraga nitakuambia aliye mrembo zaidi.
 
Nani mrembo zaidi katika hawa ?

Nafikiri swali zuri lingekua 1:Je nani kati ya hawa anajitunza na bado ana Ubikira wake? 2: Yupi kati ya hawa hafanyi mapenzi bila kinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…