Nani mpumbavu kati ya baba na mtoto

Joined
Jun 4, 2012
Posts
12
Reaction score
2
Mtoto katoka shuleni huku analia,alipofika nyumbani baba yake akamuuliza walia nini? MTOTO nimepigwa na mwalimu na nimeambiwa twende sote shuleni! Wakaenda shuleni na kuingia ofisini MWALIMU karibuni mtoto wako tumemuuza Nairobi iko wapi akashindwa ndio maana tumemchapa!BABA kwa hasira akamgeukia mtoto wake na kumpiga vibao akamwambia mpumbavu mkubwa nakukataza kila siku kuchezea vitu vya watu hukomi haya Nairobi ya mwalimu umepeleka wapi???
 
hapa inabidi umkate na dingi fimbo za kutosha.
 
Duuh dingi zimeruka kidogo hayuko sawa!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hahahha dingi hafai

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…