Nani mmiliki wa UDA na Kwanini kipaumbele

Nani mmiliki wa UDA na Kwanini kipaumbele

Nafurahi sana watu wanapoanza kuamka na kumulika
maeneo yenye kiza tororo kama hayo....
 
Mnaoiongelea UDA kuna mambo mengi hamyafamamu. Uda iliuzwa pamoja na mali zake zingie kama majengo na maeneo. Kwa sasa maeneo hayo yanatumiwa na mtoto wa mshua kama bandari kavu na pia kampuni ya mtoto wa mshua ya malori inatumia maeneo hayo kama yard. Kwa sasa wanatengeneza mikakati ya kuhakikisha wao wanakuwa na share kubwa zaidi Dart. Japo naamini kwa hali ilivyo Dar kwa sasa kisiasa na nguvu ya magufuli mambo mengi yatakuwa wazi.
.....Kwa hali yoyote watanzania wanahitaji majibu na ufumbuzi kuhusu UDA
 
Back
Top Bottom