musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 588
- 905
Nimekuelewa japo najua hujamaanisha kuidharau race😄Maarabu
🤣🤣🤣Wakala ya Mabasi Yaendayo Haraka (DART) ni taasisi ya serikali iliyoundwa kwa mujibu wa Tangazo la serikali No. 120 la tarehe 25 Mei 2007 chini ya sheria No. 30 ya Wakala za Serikali ya mwaka 1997 na marekebisho yake. Jukumu kuu la DART ni kuanzisha na kuendesha mfumo wa Usafiri wa Mabasi Yaendayo Haraka kwa Jiji la Dar es Salaam.
Huduma ya Mabasi yaendayo kwa haraka ni rafiki kwa kila mtu, inawezesha wanafunzi kufika shuleni mapema 😃View attachment 3313863
Kifua KIPANA .Wakuu
Siasa na biashara ni sumu...ni nani wanamiliki kampuni hii ya DART?
Bila shaka wana nguvu kuliko serikali
Hii ni dalili nzuri ya kuonesha kufeli kwa serikali...
😀😀😀Maarabu
Kobaaz wanajuaga Tu biashara za ice cream na juice. Wampe mgalatia mchaga huo mradi waone ufanisi WA hali ya juu.Maarabu
Jibu ni Wanaccm.Wakuu
Siasa na biashara ni sumu...ni nani wanamiliki kampuni hii ya DART?
Bila shaka wana nguvu kuliko serikali
Hii ni dalili nzuri ya kuonesha kufeli kwa serikali...
Mungu yupoWapo hapohapo Dar es salaam wanawachora tu mnavyosumbua na kusumbuka huku wao wakinyonya taratiibu.
Hata hiyo DP world wamiliki wapo hapohapo Dar es salaam, wale DP world wenyewe wanakula tu asilimia fulani yakuitumia, wanyonyaji wakuu wapo hapo Dar es salaam.
Bahati mbaya hata wale machawa masikini wanakula mabaki tu for them to survive na kuishi show off life ilihali wenzao ni secret societies zinazoishi invisible life yenye misingi maisha mazuri vizazi na vizazi.
Inatia hurumaNimeona clip moja, basi la mwendokasi, linavuja kama pakacha la kubebea embe au zambarau toka Kigamboni.
Walisimama wote, wanasema wao na wanaotembea kwa miguu na hiyo mvua, tofauti yao ni kasi tu. Niliwaonea huruma. Kwanini wa Tz wamezoea shida kiasi hiki?