Ungeuliza kwanza nani mmiliki wa Tanzania Daima kabla ya kudandia gari kwa mbele.Wana jamvi amani iwe kwenu,
Kufuatia gazeti la Hahabri Leo kuamua kuandika habari zinazokibeba CCM nai kuandika habari za kuviponda vyama vya Upinzani, naomba kujua mmiliki wa gazeti hilo, mishahara wanalipwa na fedha za nani?
Hi nyie wenzetu uelewa wenu hua ukoje!? Magazeti yanayoshabikia ccm yapo mengi, Raiamwema, raia Tanzania, Dira nk. Mleta huja si kwamba hajayaona hayo, ameyaona but hayo ni magazeti ya watu. Hata Uhuru likifanya hivyo hakuna atakae uliza cause ni gazeti la ccm lakini sio Habari leo, Daily news na Sunday news, hata TBC haipaswi kufanya hayo inayoyafanya kwasababu hivi ni vyombo vya umma; unataka kunambia we hulioni hilo!? Mwanahalisi linamilikiwa na Sead Kubenea, mgombea ubunge kwa Chadema pale Ubungo, Tanzania daima linamilikiwa na familia ya Mbowe ambaye ndiye mwenyekiti wa Chadema, ulitegemea iwaje!? Ndio maana UKAWA wanasema kipaumbele chao cha kwanza ni Elimu, uelewa wa kupambanua mambo wa Watanzania wengi uko chini sana.
Jana nimerudi toka kazini napata habari kwamba jirani yangu ananitambia kwamba atanizomea sana UKAWA ikishindwa uchaguzi (hua tunatanian anae sana tu) nikamwambia mimi hata nikiumwa ugonjwa wowote pamoja na familia yangu hua hatutibiwi na hospitali za serikali, mwajiri wangu anachukua jukumu hilo, na wewe je!? Ukweli watu wengi wanadhani kushabikia vyama hivi kwenye hu uchaguzi ni kama kushabikia YANGA na SIMBA, yote hi ni kwasababu ya ELIMU. Unaweza kusona but namna yako ya kupambanua mambo ikawa chini sana. Sorry kwa maneno yangu mengi, nasikia kugadhabika kwasababu mtu mwenye uwezo wa kutumia internet naye hajui kutofautisha magazeti ya serikali na magazeti ya watu binafsi.
Binti ongeza bidii katika kozi yako ya pre form one,huku unapokimbilia si mahali sahihi kwako.Mleta mada kauliza uhalali wa Gazeti la Serikali linaloendeshwa kwa kodi zetu kugeuka na kuwa vuvuzera la chama tawala,na hili nalo umeshindwa kuling'amua ewe kizazi cha BRN zao la Mitihani ya multiplechoice?Umedhihirisha huna unachofahamu,umebaki na akili za "kushedi"OMR tu ktika Mitihani yenu ya kuchagua toka swali 1-50,huna thamani yoyote katika Taifa.Bora ufe tu.
Tanzania daima ni gazet la mtu binafsi hivyo yuko huru kuandika habari kwa interest zake kama ilivyo star tv ila habar leo ni gazet la serikali alitakiwi kufungamana na upande wowote kwan linaendeshwa kwa kod za wananchi wote bila kujar itikad za vyama
Kampuni ya magazeti ya Serikali. Haiendeshwi kwa kodi za wananchi.
Daily News na Habari Leo hujiendesha yenyewe kwa mauzo na Matangazo.
TSN inalipa kodi serikalini kama kampuni ingine yeyote ile.
Nao pia wana uhuru wa ku support upande wowote ule. Na hasa kwa maslahi ya taifa.
Ndio linaandika habari za ccm,sasa mtu kalala we utaandika nini,acha ulofaWana jamvi amani iwe kwenu,
Kufuatia gazeti la Hahabri Leo kuamua kuandika habari zinazokibeba CCM na kuandika habari za kuviponda vyama vya Upinzani, naomba kujua mmiliki wa gazeti hilo, mishahara wanalipwa na fedha za nani?
Ndio linaandika habari za ccm,sasa mtu kalala we utaandika nini,acha ulofaView attachment 301990
Ungeuliza kwanza nani mmiliki wa Tanzania Daima kabla ya kudandia gari kwa mbele.
Habari Leo, Daily News, TBC, Sunday News ni magazeti ya serikali, yanaendeshwa kwa kodi za wananchi. Ni jambo la ajabu kabisa kuwa vyombo hivyo vinatumika na CCM.
Kampuni ya magazeti ya Serikali. Haiendeshwi kwa kodi za wananchi.
Daily News na Habari Leo hujiendesha yenyewe kwa mauzo na Matangazo.
TSN inalipa kodi serikalini kama kampuni ingine yeyote ile.
Nao pia wana uhuru wa ku support upande wowote ule. Na hasa kwa maslahi ya taifa.
Upo sawa? Kama TBC imeshindwa kujiendesha bila ya Ruzuku hao TSN wataweza?
Tofauti Mali ya umma na Mali ya mtu binafsi. Hawana uhuru wa kuamua kuwa na upande. Iwe ni kwa mujibu wa sheria au kimaadili.
Tofautisha TBC na Daily News. TV ni huduma. Hawafanyi biashara. Hawauzi chochote. Daily News hadi sasa ndilo gazeti la kiingereza lenye highest circulation. Pia lina Matangazo mengi katika Africa Mashariki. Kampuni imeizidi Mwananchi kwa revenue zaidi ya mara tatu.Upo sawa? Kama TBC imeshindwa kujiendesha bila ya Ruzuku hao TSN wataweza?
Tofauti Mali ya umma na Mali ya mtu binafsi. Hawana uhuru wa kuamua kuwa na upande. Iwe ni kwa mujibu wa sheria au kimaadili.