moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,944
Hii post imekaa kichochezi....teh teh teh!!!!!!Wataalam wa uchumi nisaidieni kidogo, nani mkweli.
[emoji654]Wananchi wanadai kuwa serikali imebana hela.
[emoji654]Serikali inasema watu wameficha hela.
[emoji654]TRA wanasema makusanyo ya kodi kwa mwezi yameongezeka.
Lipi ni lipi?
*Epuka Uchochezi*
Wataalam wa uchumi nisaidieni kidogo, nani mkweli.
[emoji654]Wananchi wanadai kuwa serikali imebana hela.
[emoji654]Serikali inasema watu wameficha hela.
[emoji654]TRA wanasema makusanyo ya kodi kwa mwezi yameongezeka.
Lipi ni lipi?
*Epuka Uchochezi*
Kwani uchumi ndio kitu gani? Kama ni sherehe basi Ngosha atuletee na sisi huku kwetu Geza ulole tushangilie kama alivyowapelekea wambeya kupatwa kwa jua wakashangiliaWataalam wa uchumi nisaidieni kidogo, nani mkweli.
[emoji654]Wananchi wanadai kuwa serikali imebana hela.
[emoji654]Serikali inasema watu wameficha hela.
[emoji654]TRA wanasema makusanyo ya kodi kwa mwezi yameongezeka.
Lipi ni lipi?
*Epuka Uchochezi*
Tojage na Magufuli haaaah naona wasukuma tunaisoma namba kwelikweliNgoja niongee kilugha kama baba Jesca aongeapo na watanzania, "Ndamko Ndalo Biswalo..... Ndendya Atukuzwe".
Mnajengewa international Airport hapo Chato pia anawaletea na bandari kavu. Ingawa sijui kama hivyo ndo vipaumbele vyenu.Tojage na Magufuli haaaah naona wasukuma tunaisoma namba kwelikweli
Tutajenga na ikulu ya Wasukuma chato!!Mnajengewa international Airport hapo Chato pia anawaletea na bandari kavu. Ingawa sijui kama hivyo ndo vipaumbele vyenu.
Msisahau kusoma historia ya mji wa Gbadolite kule DRC.Tutajenga na ikulu ya Wasukuma chato!!
We subiri tu
Piga nyama babaaaaaa….Hii post imekaa kichochezi....teh teh teh!!!!!!
Mimi Niko bize nafyatua watoto serikali itawasomesha bure......