Nani mkali kati ya Aziz Ki na Augustine Okrah?

Kama Deal la Manzoki likitick, kuna watu wataharisha uwanjani!
Pambeni kuna Okrah na Sakho, katikati kuna Akpan, Chama na Phiri, halafu mbele yupo mdudu Manzoki!!!

Watu watarudianamo "Unamwachaje anapiga mashuti?? Wewe mbona hukabi?[emoji23]
Hakuna mchezaji bora league ya Uganda

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Bila ubishi kitakwimu na kwakuangalia aina ya uchezaji wao Okrah ni moto. Simba wamelamba dume pale
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…