Nani mkali hapo?

komba05

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
367
Reaction score
293
Mf wewe ni director wa movie unaambiwa chagua Adui mkuu mmoja hapo, utamweka nani?

 
namba 1 huyo namkubari sana ye msingi mikwara mbuzi ka KABOKA MCHIZI wa gazeti la KOMESHA baadae KASHESHE
kupigana ngumi hata haliwezi tunaliitaga CALROS
 
Hakuna kama Garry Hiroyuki Tagawa hapo (4).

Jamaa kacheza filamu kibao kwa kumudu nafasi ya uadui vyema.

Nilipenda sana namna alivyozicheza Mortal Combat, Showdown in little Tokyo, Bridge of dragon ... nk
 
Mf wewe ni director wa movie unaambiwa chagua Adui mkuu mmoja hapo, utamweka nani?
Angalia sura za wa-asia hao kama panya road,, bolo Na shagashuggi aibuu
 
Carlos ni mwehu anaongea ka fala ila anatenda kama mwwhu
 
Wte huwa wanaikera wakiwa maadui lkn Tagawa ananikera zaidi [emoji34]
 
Wote ni noumer ila mzeee wa slow motion Carls ni noums
 
Hilo bwege la number 1 ukisubutu kumpenda basi anakuambukiza mpaka tabia.
Anakela mno
 
Hahaha Tagawa anaweza kukufanya usiipende dunia kwa ubaya wake

Btw wote ni wakali hapo ila Tagawa ni mshenziiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…