Nani Mchawi wa Tumbo la Gasi Mtaani....

Nani Mchawi wa Tumbo la Gasi Mtaani....

JayKisoti

Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Hili tatizo limekuwa kero kwa wanajamii wengi, na dawa yake imekuwa taabu kuijua. Wengi wamezunguka mahospitalini hadi kwa waganga lakini hawakufanikiwa kupata dawa yake. Ukiwa kama mwanaharakati wa pro-life naomba maoni yako..
 
Chemsha Mizizi ya Mwarobaini kunywa Grass 2 asubuhi mchana na jioni yaani Grass 6 kwa siku Gesi itakimbia na kuludi Mtwara
 
Duuh,yaani wewe ni dili,Mgodi unaotembea.
Nenda Mtwara kwa yule Bibi atakupa namna ya kuingia ubia na wawekezaji.
 
Back
Top Bottom